Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We are interested in Hincapie, Manuel Sierra (his agent & agent wa Caicedo) is trying to force/create a deal.

Hincapie is 21, so he wont take/use the NHG spot, he had an injury, but it remain to be seen kama, LFC wata-sunction a deal.
 
Luke Chambers attracting interest from Leverkusen, hawa jamaa wana Tapsoba & Hincapie, so tunaweza ku-structure a deal kupitia Chambers.
 
German jornos, wanasema BM wana-expect a bid from us, ya Manu Kone.
 
Wakati sisi tunasubiri Nunez aje kuwa mzuri, muda huo City hawasubiri, ni kusajili vyuma kwa vyuma na halaand kuendelea kutupia huku sisi tunasubiri meli aitport

Mimi tangu tetesi za kumtaka huyu mchezaji ziwe nilijaribu kumfatilia vizuri na baadhi tukasema ni average player, bei yake haizidi 40m

Sasa ametuprove right wale tuliokua tunambeza
 
Tatizo la hii timu inafanya replacement taratibu mno kitu ambacho ni kinyume na soka la sasa hivi

Mwaka wa pili sasa huu tunatumia kuboresha kiungo cha timu amini kwamba msimu ujao tutakuwa na zoezi jipya tena la kurekebisha defence nikangalia umri wa van dijk injuries za konate na kasi ya robo naona kabisa kuna shida msimu ujao ambayo nayo itatusumbua kuitatua kwa miaka miwili

Sijaongelea umri wa salah unasogea na maofa ya uarabuni pia so tunaaanza tena kuhangaika na winga ya kulia eliot na doak tutawabebesha msalaba tu kuwapaa ilo jukumu

Hivi ni lini kutakuwa na proper team yenye subs za uhakika

Haya mambo ndio yalifanya suarez na torres wakaondoka yani kila mwaka sisi tujengaga team
 
Tukiwa na Midfielder nzuri, Back nzuri amini usiamini Ben Doak na Elliot watang'aa sana EPL amini nacho kwambia mkuu.
 

Kwa ufupi Klopp hana energetic player kwenye MF na Backline especially LCB & RB.

Press ya jana ya Klopp ni kama anawatupia lawama FSG. Kama kweli kuna £110m tuliyotoa kwa Caicedo na hatukumpata means FSG were willing to spend.

Baada ya Endo kuja kwa £19m means we have almost £90 in the pocket. Maana yake we can get two players atleast mchukue Doucoure kwa £60m inabaki £30m mchukue Andre aje January kwa £19m hiyo.


Ila hizi transfer itategemeana na hali ya kesho. Matokeo na Kiwango, vyote vikiwa positive nafikiri usajili utakuwa umefungwa
 

Hata Wasaudi wanalijua hili Salah haondiki this summer. Hata mwanzo kuna source sili claim Saudi kumtaka Salah ila wanajua watampata after 1-2 years.

I agree Kama watamuuza Next summer with all my heart he is a Living Legend na hatuna la kumdai.

Ila ili tupate pesa nzuri next summer aendelee kuweka magoli na assits huku timu ikiwa kwenye positions nzuri ya kubeba makombe.
 
German jornos, wanasema BM wana-expect a bid from us, ya Manu Kone.

Hivi kwa nini tulijitoa kwa Kone na Thuram. Kone was injured na nimeona taarifa zake ana injury records sio nzuri
 

Bad squad management
Hivi ndivyo naweza kusema

End of the season we are going to lose Salah
Matip (free)
Thiago (free)

You wonder jinsi tunahitaji replacements.
 
Klopp: "We have our situation. There was one year when money was less of an issue because Phil (Coutinho) went to Barcelona and we could do two sensational transfers. But we always spend over the years when we have to improve. From the team when I arrived here eight years ago, there's only Joe Gomez left. There has been a lot of business and we've had to do it our way. Since I've been here, we have had to (live within our means). The club has had to, and of course that doesn't make it easier. The problem is not our situation, it's just in comparison to the other main teams. We have to be on point. That's pretty much the thing. There is not a lot of space for failure."

Still mentioning the Coutinho money from 6 years ago.

Klopp Klopp Klopp

There will be no mercy. Naona ameanza kujitetea na COMPARISON
 
Pia tumesajiri kiungo mwingine Ngũgĩ wa Thiong'o na style yake ya ushangiliaji ijulikanayo kama "Weep Not, Child"
 
Taiwo awoniyi tungempa mda na game time, ni bora kuliko Nunuz

Unajua kwa nini hakubaki Liverpool??

Sio muda
Kwa kipindi kile alikosa work permit ya UK. Angesubiriwa?? Ukumbuke ilikuwa ni 2019 Mane wa Moto Salah wa moto na Bobby wa moto. Hapakuwa na demand hiyo.

You have Jota, Salah, Gakpo, Diaz, Nunez watatu waanze wawili waingie bado unaona Awoniyi angepata nafasi?

Mkuu huyu Awoniyi umemuona mechi tatu hizi za mwanzo. Huyo Nunez unayemuona hana ubora last season alikuwa na magoli 9 na assits 3 mechi 29 za ligi. Awoniyi alikuwa na 9 goals na assit 1. Stats za ligi kuu tu EPL.

Utamchukua nani hapo??

Nakumbuka kuna kipindi humu humu watu walisema Salah auzwe Origi na Shaqiri wapo.

Nunez atakuja kuwa mzuri kwenye kufumania nyavu. Ukumbuke kuna Consistence ndio jambo la msingi hili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…