Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tungekuwa na nia ya kumchukua Andre hata msimu huu tungempata kaka ila sasa Klopp hapangiwi na sioni usajili tena hapa tusubiri tu
 
Kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] huyu Lavia atasugua bench sana tu
 
Hakuna haja ya usajiri mpya waliopo watosha
 
Huyu McAlister ndio huwa anasababisha tufungwe na kocha letu Crops cultivation limeshagundua hichi kitu so huwa anawaambia marefa wampe kadi nyekundu Huyu kipenyo McAlister

Operation ni counter intelligence
 
Tungekuwa na nia ya kumchukua Andre hata msimu huu tungempata kaka ila sasa Klopp hapangiwi na sioni usajili tena hapa tusubiri tu

Labda iwe surprise ila ngumu kusajili kwa sasa.

Ujue shida ya Klopp huwa anawapigia injuries mahesabu na wakati hao ndio wanamuangusha.
 
Page ya livekuku ila wanajadili Chelsea hatari sana mbona hamsemi nyie mnavyopigwa
 
Ile kadi ni halali kwa sababu tunaangalia Lengo
McAlister alitaka kumuua mwenzake alimkaba shingo zaidi ya dk 1 na bado akampiga ngumi sita za kichwa na akammega meno
Daah we jamaa aise πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜„πŸ˜„
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…