Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool hakuna kuhangaika kukimbizana na majina makubwa,vipaji vipo,kazi ni kuvigundua tu
Yeah! Ni kweli Liverpool vipaji ni vingi tu aisee, ila sasa Klopp atafute Mbinu huu mpira wa kuvizia vizia ipo siku tutapigwa sana. Anatakiwa atafute Formation mpya na wachezaji wawe na kasi .

Leo tumempiga Bournemouth kesho tutakutana na Newcastle, Em ona tulivyo kimbizwa na Chelsea sikuile wachezaji hawana kasi ni kuvizia Counter tu na unavyo jua maisha yamebadilika sikuiz mbinu ni mhim ukipoteza mpira una recovery mapema sasa sisi sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] tusifurahie ushindi wa leo tufocus mbele kwanza.
 
ila Backline inanipa headache sana yani ikishambuliwa kidogo tu inakuwa underpressure inagawa mipira kwa adui
 
Kikosi cha livakuku thamani yake ni sawa na Caisedo
 
Gakpo mmoja ni nyie matakataka wote na mali zenu zote🤣
Gakpo mmoja ni sawa ni kikosi kizima cha Chelsea plus Tajiri wao Miluzi.
Kikosi cha livakuku thamani yake ni sawa na Caisedo
Caisedo akija Liverpool tunaweza kumpatia kazi ya kubeba mipira ya mazoezi na chupa za maji.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…