Sipend watu wasiopenda kujibu hoja Bali wanaongea ujingaOya kaambieni haka kajamaa kapunguze ujuaji aise.
Aah we pambana na Timu lako la mickeymouse cup.Moises Caicedo will have his Chelsea medical this morning ahead of completing his British transfer record £115m move from Brighton [emoji838]
Sky sport News
Nimemzungumzia Enzo au Lukaku?Mbona uzungumzii Enzo?
Aah we pambana na Timu lako la mickeymouse cup.
Utakufa bila UCL.
Timu kama City, Chelsea zimekukuta kwenye game ila zimekupoteza na zina miliki major trophy, na zimeshiriki mashindano makubwa ya Club duniani CWC( Mashindano ambayo arsenal haitashiriki mpaka unakufa).
Dogo acha ulofa.
Mkuuu habari za siku mingi nakuona kma unaingia na kutoka
Dogo wa Arsenal huyo najaribu kumuelezea ukweli.Eti mpaka anakufa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu
Salama Mkuu,Mkuuu habari za siku mingi nakuona kma unaingia na kutoka
Mlivyokuwa mnanawa mipira ndani ya 18 hujaona? au ndo tuite ushabiki ganiTulia bro wacha tuenjoy boli ila mna bahati sana Faul aliyochezewa Chilwel unaikumbuka.
Mlishindwa kucheza kazi ikabaki kusukuma tu watu uwanjani
Caicedo na Lavia mmefikia wapiDogo wa Arsenal huyo najaribu kumuelezea ukweli.
Timu za kawaida kama Chelsea unamaanisha nini mkuu.Hivi hawa FSG mbona wabahili Sana jamani
Kutoa £90M kwao n mtihan mzito na wakitoa itabid tusubir miaka 5 mingne
Mbona timu za kawaida kama Chelsea zinatoa pesa wao wanazitoa wapi?
Wakat kanuni n moja TU tumia unachoingiza in maana hawa FSG hawaingizi?