Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool ya 2019 sio kama ya sasa kwasababu hatuna DM,[emoji23][emoji23][emoji23] yaani mido iko exposed ndio maana naona akina VVD na Konate wanahangaika tu huko kukimbizana na Reece na Chilwell [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni bora tumekimbizwa ili wafanye usajili lasi hvyo tutakimbizwa sana na akina Martinell na Trossard [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Amekariri 4-3-3 zaidi ya hapo hamna kitu
Huu mfumo atakimbuzwa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], wenzie kila siku wanamifumo mipya Chelsea alitumia 343 baadae kaja na 3421 yeye anakomaa tu na 433 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vunjeni timu muanze upya kama sisi
Piga Salah bei Uarabuni kabla hajashuka bei
VVD naye uza.
Kama connection na waarabu hamna mumuone Boehly atawasaidia
Uzo wote bakiza wazalendo wawili au watatu tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…