Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna huyu mtoto Andre (Brazilian) naona kisiki hasa DM, ila kwa ubahiri wa FSG sidhani kama watatoa hiyo 30M wanayotaka.
 
Fsg out
Wanazingua wale majamaa
 
Usajili umekamilika naona sasa tuanze league chezea fsg ww? [emoji23][emoji23]
 
Hii Timu ya kijinga sana tunazidiwa hadi na Arsenal [emoji23]
Mkuu, Nadhani utakuwa Mgeni sana kwa Liverpool,
Kwa Liverpool Fans yeyote aliyepitia Magumu na Maumivu ya Liverpool, Atakuwa anajua Liverpool ina Ride ndefu sana sana,Kama hukujiandaa na hiyo Ride ndefu tafuta team nyingine ya kushangilia Mapema.
 
Lavia .. Southampton wanaleta tamaa...wanalazimisha 50...wakati bei yake halisi 30... Liverpool washafika 41...
Kuna asilimia inaenda Man city ndo maana Southampton wanakomaa
Haaaa....Liverpool wakimpata Lavia tayari ubingwa mkononi. Mashabiki wa Liverpool hua mnanifurahisha sana na imani yenu, mnaweza kuamisha maji ya bahari kwa kijiko.
 
Wasaudia wapush zaidi wawapen hata £70m[emoji1787][emoji1787]


BREAKING[emoji599]

Reliable sources in Saudi Arabia have said that Al-Ittihad are preparing a bid for Mohamed Salah.

The Egyptian talisman will earn £180m over two seasons. They are rumoured to be offering Liverpool £60m.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…