Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

chelsea usajili wote ule mpk sasa iwe 123? hizi data sio sahihi
 
Kinachoniuma ni mimi mtanzania wa huku ndani ndani naona mapengo ya wazi wazi

Ila wataalam walio ndani ya timu wanajifanya kutoona chochote

Bila ya kuziba haya mapengo timu ikishinda ni yetu sote ila ikipigwa pigwa ni yao najiengua kuifuatilia naendelea na michongo yangu

Pressure ya nini?

Mshahara wa shabiki ni ushindi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…