Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Upamecano hamna beki mule. Katoa boko za kutosha tu kwenye uefa. Na ukisema ana speed si kweli maana jamaa huwa ukimgeuza upande mmoja basi kwisha kazi yake. In short yule ni kama Koulibaly tu
Mbona kawabeba France Hadi fainali??
 
Kazi kwelikweli kwenye ushabiki...usajili wa wachezaji wawili tayari maneno yameanza...EPL ya Liverpool.
Hongereni sana mabingwa wa EPL msimu wa 2023/2024.
Namm nashangaa japo mm ni shabiki wa Liverpool nawashangaa mashabiki wenzangu [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…