BukuTatu_AlfuTatu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 250
- 559
Ni kwel ana haki ya kuwa na uchu wa namna hiyo Mtu kila Msimu anakuhakikishia magoli 20+ na assists kama zote si mchezo aiseeSalah ana goli 19 ..
Kila mwaka anafunga goli kuanzia 20...
Zimebaki mechi 2..lazima anune ... anataka goli 20 Kwa season ...by minimum...
Angekuwa Hana mbinu mbadala asingenusa finali Uefa back to back swala ni uzembe wa baadhi ya wachezaji ndani ya pitchMadrid kawagonga final mbili daaa ...
Pep tu baada ya ile semi final alirudi maabara akachanganya salphric acid +Carlo ancelotic acid plus litimus pepar akagundua yule Carlo alibahatisha ..
This time tumemkanda goli 4 ....
Sasa mnagongwa na Madrid back to back kama kuku ...klopp hana mbinu mbadala aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc FSG and Klopp....Keita
Milner
Boby
Ox
Safisha safisha, bado hendo soon,
Klopp ameishi kwa kopi na ku pasti kwa muda mrefu sana huku lady luck akiwa upande wake, na alivyoambiwa na wachambuzi, former players, ma fans nk alikua mkali ajabu na kutoa mifano makombe aliyochukua, ishu ikaja sasa msimu huu amejuliwa, uchovu, uzee, majeruhi nk anafungwo left n right.. Mpaka anasema mambo lazima yabadilike dirisha lijalo ni baada ya kuoja joto la jiwe haswa.Real Madrid were so easy to be scored Uefa mwaka jana kilichotusumbua Ni kitu kimoja
How klopp reacted with losing to them
Alienda na same tactics over and over
Msimu ujaoKlopp ameishi kwa kopi na ku pasti kwa muda mrefu sana huku lady luck akiwa upande wake, na alivyoambiwa na wachambuzi, former players, ma fans nk alikua mkali ajabu na kutoa mifano makombe aliyochukua, ishu ikaja sasa msimu huu amejuliwa, uchovu, uzee, majeruhi nk anafungwo left n right.. Mpaka anasema mambo lazima yabadilike dirisha lijalo ni baada ya kuoja joto la jiwe haswa.
YNWA
Sijambo kabisaAm there there... How is you Miss Liverpool wetu.
YNWA
Madrid kuchapwa hakutofanya mpewe makombe ya fainali mbili mlizopoteza dhidi ya Madrid Kwaiyo cry more[emoji16][emoji16]Sijambo kabisa
Nafurahia mimadrid ilivyochapwa Jana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati sisi tunahangaika kuwaondoa akina Milner, Kipara huyoo anaenda kunyanyua kwapa.
Hata kama hatupati ila nina furaha nao mwaka huu wanatoka patupu.Madrid kuchapwa hakutofanya mpewe makombe ya fainali mbili mlizopoteza dhidi ya Madrid Kwaiyo cry more[emoji16][emoji16]
Wenzako Wana copa derey wewe una nini kama sio kusubiri tu kwenda ueropa tu.Hata kama hatupati ila nina furaha nao mwaka huu wanatoka patupu.
Nyie watu wa Europa mmechanja mbuga mkabeba kile kikoroboi basi mnajiona mmeweza.Wenzako Wana copa derey wewe una nini kama sio kusubiri tu kwenda ueropa tu.
Huyo huyo Brighton bado anakutana na Man City na Aston villa hvyo bora Brighton ashinde tu.Nyie liverpumbu hapa Leo Kuna game Kati ya Brighton na Newcastle.
Mnaombea nani ashinde maana akishinda Newcastle mmkuti mtu pale juu nae Brighton akishinda anawashusha sio muda hapo juu.
Ueropa league is waiting for you [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2626366
Klopp ameishi kwa kopi na ku pasti kwa muda mrefu sana huku lady luck akiwa upande wake, na alivyoambiwa na wachambuzi, former players, ma fans nk alikua mkali ajabu na kutoa mifano makombe aliyochukua, ishu ikaja sasa msimu huu amejuliwa, uchovu, uzee, majeruhi nk anafungwo left n right.. Mpaka anasema mambo lazima yabadilike dirisha lijalo ni baada ya kuoja joto la jiwe haswa.
YNWA
Hii ndo liverkenge tunayoijua hii ya saizi tuna mashaka nayo.Nyie watu wa Europa mmechanja mbuga mkabeba kile kikoroboi basi mnajiona mmeweza.
Tunarudi Uefa wahuni nyie mtajuta.
Madrid ya sasa haina ukali. City ndio timu bora kwa sasa duniani. Na wataendelea kudominate kwa miaka mingi. Haswa pale england. Watapiga back to back mpaka pep atakapo ondoka.ukweli mkuu klopp mbele ya real Madrid miaka ya hivi karibun amekua hapat matokeo mazurii kabisa wanapokutana
Pep akishinda UCL..anatimuaMadrid ya sasa haina ukali. City ndio timu bora kwa sasa duniani. Na wataendelea kudominate kwa miaka mingi. Haswa pale england. Watapiga back to back mpaka pep atakapo ondoka.
City ni nyoko....