Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Anataka acheze pekeyake mwanzo mwisho,wenzie watacheza saa ngapi?Anakera sana huyu naye kila siku anataka kufunga magoli ya ku curve tu . bora Dogo Elliot na yeye awe anapewa hata dk 20 au 15.. 🤣🤣🤣
Dirisha la 2020 na 2021 ilikua wakati mwafaka sana FSG kumpa sapoti ya nguvu sana Klopp kwa kua kipindi kile kwa sababu za corona hata bei ya wachezaji ilishuka ukilinganisha na sasa lakini hawa jamaa wakawa wanatoa mikataba left and right kwa wazee wao ikifika mahala Edwards akasema jamani data zinaonyesha hii itakuja kutu cost lakini hakusikilizwa ushauri wake ukatupwa huko jamaa akaona isiwe taabu akaachia ngazi June 2022 mkataba wake ulivyoisha hakutaka mengi...Kipara ana ishi luxury life pale kwenye ligi ya EPL hakuna kocha yoyote anaishi luxury life kama Kipara, kwa sababu ana resources zote yaani asipocheza De Bruyne ataingia Gundogan, na aAsipocheza Mahrez atacheza Foden/ Grealish sasa hebu njoo kwetu hivi Klopp anaweza kumuweka Salah nje tu bila sababu? au Pale Spurs Harry Kane anaweza akawekwa benchi bila sababu?? Yes Kipara ana luxury life kuliko Manager yeyote pale EPL 🤣 🤣 🤣 🤣
Ilipofika sasa kila mmoja akishinda mechi zake hatuna chetu Big 4 haha tunakwenda shiriki ile ya Alhamisi lol kazi ipo.Chamsingi ni tushinde mechi zetu.
He is just selfish na kuona ana hati miliki ya namba hana kingine na hapo ndio utaona Bobby ni wa tofauti kabisa hata awe on fire kiasi gani akipewa sub ya kutoka boy is all on smiles hana kinyongo anajua target ni moja tu ni mafanikio ya timu ni bora kuliko mafanikio ya individuals accolades...Kwanini Salah akifanyiwa sub ananuna?
Tena msimu ujao akumbali tu lazima Klopp afanye proper management ya playing time yake maan he is on th other side of 30 thus managing his minutes to get th best out of him will be crucial.Anakera sana huyu naye kila siku anataka kufunga magoli ya ku curve tu . bora Dogo Elliot na yeye awe anapewa hata dk 20 au 15.. 🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Kabisa yaaniTena msimu ujao akumbali tu lazima Klopp afanye proper management ya playing time yake maan he is on th other side of 30 thus managing his minutes to get th best out of him will be crucial.
YNWA
KabisaHe is just selfish na kuona ana hati miliki ya namba hana kingine na hapo ndio utaona Bobby ni wa tofauti kabisa hata awe on fire kiasi gani akipewa sub ya kutoka boy is all on smiles hana kinyongo anajua target ni moja tu ni mafanikio ya timu ni bora kuliko mafanikio ya individuals accolades...
Salah ana njaa haswa ya kuvuja ma rekodi lakini na yeye akumbuke team harmony is really important, we appreciate him but boy has to appreciate others by showing proper sportmanship...
YNWA
Ikiwezekana aanzie benchi mfululizo akili imkae sawa.Tena msimu ujao akumbali tu lazima Klopp afanye proper management ya playing time yake maan he is on th other side of 30 thus managing his minutes to get th best out of him will be crucial.
YNWA
Salah ana goli 19 ..Ikiwezekana aanzie benchi mfululizo akili imkae sawa.
Tuna damu changa,Akina Elliot ,Gakpo,mdogo wako pendwa, wote hawa wanahitaji kucheza.
Anataka acheze yeye tu mwanzo mwisho
Klopp naye amezidi kumuogopa hadi jamaa anaona namba ya kucheza mwanzo mwisho ni yake.
Lakini dakika amepewa za kutosha.Salah ana goli 19 ..
Kila mwaka anafunga goli kuanzia 20...
Zimebaki mechi 2..lazima anune ... anataka goli 20 Kwa season ...by minimum...
Kinacho niuma ni Bobby kuondoka, kingine kinacho niuma ni VVD na Matip kubaki [emoji23][emoji23]View attachment 2625540
There's something that the kop wants you to know
The best in the world his name is
Bobby Firmino
Our number nine
Give him the ball and he'll score everytime
Si Señor
Pass the ball to Bobby and he'll score
Bobby will always live free rent in my head
Bobby wetu namtakia kila la kheriKinacho niuma ni Bobby kuondoka, kingine kinacho niuma ni VVD na Matip kubaki [emoji23][emoji23]View attachment 2625540
Madrid kawagonga final mbili daaa ...Real Madrid were so easy to be scored Uefa mwaka jana kilichotusumbua Ni kitu kimoja
How klopp reacted with losing to them
Alienda na same tactics over and over
ukweli mkuu klopp mbele ya real Madrid miaka ya hivi karibun amekua hapat matokeo mazurii kabisa wanapokutanaMadrid kawagonga final mbili daaa ...
Pep tu baada ya ile semi final alirudi maabara akachanganya salphric acid +Carlo ancelotic acid plus litimus pepar akagundua yule Carlo alibahatisha ..
This time tumemkanda goli 4 ....
Sasa mnagongwa na Madrid back to back kama kuku ...klopp hana mbinu mbadala aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mguu anaotumia na upande anaotokea ndo sababuAnakera sana huyu naye kila siku anataka kufunga magoli ya ku curve tu . bora Dogo Elliot na yeye awe anapewa hata dk 20 au 15.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]