Unyama ni mwingi
Hasa ya home [emoji91][emoji91]
Yeyote anayenipenda ni ruksa kuninunulia Uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Hata wasipoondokaNgoja tumalize top four.
Halafu tusajili watatu kati ya hawa
1. Barella
2. Mac Alister
3. Rice
4. Ugarte
5. Tielemans
6. Mount
7. Gravernberch
Hawa waondoke
Matip
Ox
Keita
Adrian
Jezi utapata
YNWA
Bhana tangu waje FSG Liverpool it's never a straight line hata Klopp mwenyewe alishasema kwamba hana haja ya kulia kulia kama akikosa anachokitaka basi atafanya kazi na kilichopo 🤓🤓🤓... Ujumbe huo ni mzito na ndio maana Klopp wala hana ishu sana kwamba akisema leteni Tchouameni hapa asiponunuliwa na akikosa target aidha EPL au UCL basi Klopp atawaambia tazameni wenyewe utashinda nini ukiwa na bogus Midfielders ambao sio creative wala aggressive for top honors in fact wanatumia muda mwingi wodini kuliko uwanjani tazama Ox, Thiago, Keita hawa kweli unaweza kuwa tegemea kuwakimbiza Manchester City like serious no way.... Fabinho kua out of form ni kwa sababu boy has been overworked for almost 4 seasons without proper back up na ndio sasa ule uchovu is catching up quickly....FSG bado wanatafuta mwekezaji mwenza, au lah watakopa. Sell to buy haiwezi kutulipa.
Mambo yamepoa kwa sababu ya six straight win na tupo few points behind top four…!!!
Naona ishu bado ya uhakika wa top four vile haujakamilika biashara inacheleweshwa. Brighton they are serious. Wanajua Mac Alister, Caicedo, March kuna uwezekano wasiwe nao next season, naona wanafanya biashara fasta za kununua wanajua pesa kwa hao watatu tajwa hapo juu watarejesha hiyo pesa.
Kuna article ameandika James Pearce kama sijasahau inaonesha LFC wakifuzu CL watapata £58m, pesa nzuri sana hii ikiwa tutaipata.
YNWA
🤓🤓🤓Just say man huo ndio ukweli... Huyu Neves kama asipokwenda Barcelona naona anafaa kutua ana EPL experience na mapafu paka..[emoji81]I wanted to say so…!!! But finger on my mouth…
YNWA
Hata wasipoondoka
Hawazuii mimi kuvaa Uzi wetu.
Ni ruksa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bhana tangu waje FSG Liverpool it's never a straight line hata Klopp mwenyewe alishasema kwamba hana haja ya kulia kulia kama akikosa anachokitaka basi atafanya kazi na kilichopo [emoji851][emoji851][emoji851]... Ujumbe huo ni mzito na ndio maana Klopp wala hana ishu sana kwamba akisema leteni Tchouameni hapa asiponunuliwa na akikosa target aidha EPL au UCL basi Klopp atawaambia tazameni wenyewe utashinda nini ukiwa na bogus Midfielders ambao sio creative wala aggressive for top honors in fact wanatumia muda mwingi wodini kuliko uwanjani tazama Ox, Thiago, Keita hawa kweli unaweza kuwa tegemea kuwakimbiza Manchester City like serious no way.... Fabinho kua out of form ni kwa sababu boy has been overworked for almost 4 seasons without proper back up na ndio sasa ule uchovu is catching up quickly....
Otherwise hata tukikosa big 4 itakua fresh tu ili FSG wawe wasikivu waache kuchukulia maisha ni easy come n go kwa kua yupo Klopp ambae nae ni binadamu ana limits to exploit best results from the boys ambao msimu huu they have been caught pant down kila wakijaribu hili ilikua same result...
Wakope au wauze share tunahitaji tu usajili design kama hawa...
Barella
Pellegrin
Ugarte
Salisu
Nk nk
YNWA
[emoji851][emoji851][emoji851]Just say man huo ndio ukweli... Huyu Neves kama asipokwenda Barcelona naona anafaa kutua ana EPL experience na mapafu paka..
Neves or Nunes aidha mmoja wao can ba great addition na pia bei itakua chini ya Rise.
Baada ya kuona Rise anakua quoted at £120m nikaona hapo hatumo kabisa aisee....
Klopp akaangalie depth kwa hawa wanaoshuka daraja lakini elite atazame nje ya EPL hakuna namna.
YNWA
Barella na Macalister...
Ukiongeza na Salisu na Tielmans...
Hadi hapo timu inaweza compete
Yeah kunakua walau na balance plus connection kati ya Defense and attack.
Calvin Ramsey feel sad hatujamuona msimu huu, pengine angeshaiva kuichukua No. Taa asogee CAM…!!! Akirudi ana kazi ya ziada maana EPL mkiki mkiki.
Naona Klopp akimkubali Nunes. Sijui kama anawaza kwa R. Neves. Klopp anataka kusajili wawili au watatu kutoka EPL team
Kwa haraka haraka kuna hawana ambao labda tunaweza kuwachukua. Sio kwa pamoja hata watatu.
Enciso
Neves
Rice
Nunes
Tielemans
Mount
Hawa ndio Klopp naona akiwakubali sana.
Turudi tuishawishi Westham watuachie Bowen. He is a pure Klopp’s type
Athletic player, fitness one.
Kuna talents nyingi kam Klopp na jopo lake wakituliza kichwa. Na sio kusubiiiiiiri mpaka waje wafanye panic transfers.
View attachment 2620860
Fitness [emoji736]
Age 26[emoji736]
40+ matches per season[emoji736]
10+ G&A per season [emoji736]
Preferred foot is left[emoji736]
Huyu ni back up ya Salah 100%[emoji736]
YNWA
Tatizo sio Klopp kutoa list ya target mbali ni hawa wanaosaini cheki kuachia ela mapema aisee... Klopp hua ana jicho la talent he rarely sign flops though anakuaga na upofu wa kuona fitness levels especially kwa Thiago na Konate..... Nwa tetesi zinasema kuodoka kwa Ward na Edwards ni kutokana na wao kutopewa ushirikiano wa nguvu kutekeleza majukumu yao ipasavyo na mwishowe wakaona wasepe... Hii statement kama kweli basi tatizo lipo kubwa sana kwa sababu kitengo cha Ward ndio kinashiriki mstari wa mbele kusaini mchezaji baada ya kukumbalia na Klopp nk.... Hopefully hii mess itakua sorted mapema ili kila idara iwe huru kutekeleza majukumu yake bila kuingiliwa na yoyote..I think Klopp has already submitted his proposal toward next season.
Its either they throw their wallet out or sell the club. They have left with bitter two options to them.
Wamcash Ward mapema atuletee top MFs atleast wawili na back up wawili, RB mmoja na CB mmoja. RB & CB hawana bei kubwa kwa sasa compare to MFs
Na hapo bado hapatakuwa na depth ya kutosha. But atleast ukiwa na MFs zenye quality wawili wanabadilisha entire team.
These are players on possible on Klopp’s list;
Julio Ensico
Nunes
Rice
Barella
Mount
Tielemans (huyu Klopp amesema kama Leicester watashuka, wakati ni free agent na amekataa kuongeza mkataba anasubiri nini?)
Ugarte
Caiceido
Gravernberch
Kushuka kwa Southampton leo kuna room tukapata mchezaji humo.
YNWA
😅😅😅Nunes tunamkosa nadhani ule muda mbao ulikua kwenye kipengele chake kwamba tunaji commit kumchukua kwa less than £50m ulishapita hivyo sina hakika baada ya hapo nini kitafuata especially bei yake. Ngoja dirisha liwe wazi tutajua tu.Tuwachukue hao wote
Nunes (huyu ni prior kwa klopp)
Neves (huyu age inaruhusu, energy, experience).
Double N…!!!
Ox
Keita
Milner
Bobby
Hawa uhakika 100% wanasepa. Hivyo magepu yao yajazwe atleast na waliowazidi uwezo (utimamu wa akili na mwili).
YNWA
Tatizo sio Klopp kutoa list ya target mbali ni hawa wanaosaini cheki kuachia ela mapema aisee... Klopp hua ana jicho la talent he rarely sign flops though anakuaga na upofu wa kuona fitness levels especially kwa Thiago na Konate..... Nwa tetesi zinasema kuodoka kwa Ward na Edwards ni kutokana na wao kutopewa ushirikiano wa nguvu kutekeleza majukumu yao ipasavyo na mwishowe wakaona wasepe... Hii statement kama kweli basi tatizo lipo kubwa sana kwa sababu kitengo cha Ward ndio kinashiriki mstari wa mbele kusaini mchezaji baada ya kukumbalia na Klopp nk.... Hopefully hii mess itakua sorted mapema ili kila idara iwe huru kutekeleza majukumu yake bila kuingiliwa na yoyote..
Muda utasema ndugu atatua nani japo nimeona leo sky wanasema tetesi Liverpool wameafiki £70m kwa Mac Allister kama ni kweli utakuta adds on za kutosha ili kubakisha ela za kuongeza wachezaji wengine.
YNWA
[emoji28][emoji28][emoji28]Nunes tunamkosa nadhani ule muda mbao ulikua kwenye kipengele chake kwamba tunaji commit kumchukua kwa less than £50m ulishapita hivyo sina hakika baada ya hapo nini kitafuata especially bei yake. Ngoja dirisha liwe wazi tutajua tu.
Neves has reservation kwa Barcelona but with now Messi aiming to return pale sioni akitua so would be a perfect addition...
Pale Southampton sio pakuacha aisee wana squad players wazuri tu ambao hata payroll haita shot above crazy numbers hivyo Ward atupie jicho aisee...
My Southampton wish list for depth
Mohamed Salisu beki
Musa Djenepo MF
Kyle Walker beki
Romeo Laiva MF
Duje caleta car(2021 almost joined)
Ward Prowse MF.
YNWA
Madrid kwa sasa wala hawafanyi scouting wanasubiri kuona nani anatajwa kutakiwa na Liverpool basi hao mazimaaaa wanatua na kumaliza biashara 🤓🤓🤓... Huku Klopp akiachwa gizani yaaani....Yeah.!! Kwa jicho la talents Klopp analo.
Imagine
Angepewa cash mapema awachukue:
Camavinga
Tchouameni
Jude
Kabla ya Madrid Klopp he was the first kuwataka hawa jamaa, but at the End wakatimkia Madrid.
Kwa sasa wachezaji wa kiungo bei juu sana, pesa lazima itoboke sana.
YNWA.
The owners man wanazingua mnoooo hawapo serious kuwekeza wakati sahihi maskini Klopp kila muda lazima asugue sana akili namna bora ya maximise output ya wachezaji waliopo aisee...Sure. Kuna jinsi tunazingua sana kwenye kuwahi wachezaji.
Brighton City Chelsea and Madrid wanajua kufanya biashara hii.
Nunes ilikuwa rahisi kumpata kwa less than £40m , tumeruka ruka sasa hivi itazidi hapo.
Huyo Ugarte utashangaa twazubaa anachukuliwa tunaanza kumtolea macho.
Kuna transfer lukuki tumezingua kuziwahi mapema ambapo zimewanufaisha wengi. Nafikri ndio sababu wachezaji wanatuona hatupo siriazi wanatukimbia.
Yoooooooote sababu ya FSG stingy na ridiculous policy
Madrid kwa sasa wala hawafanyi scouting wanasubiri kuona nani anatajwa kutakiwa na Liverpool basi hao mazimaaaa wanatua na kumaliza biashara [emoji851][emoji851][emoji851]... Huku Klopp akiachwa gizani yaaani....
Tazama wachezaji wengi sana wa maana Klopp alitupia jicho kama vile Fernando wa Manjesta na mwishowe biashara FSG wakasepa sasa angalia dogo alivyo fighter... Beki Gleison Bremer akasepa Juventus nk nk ambao wana solid rekodi ya injury free muda mwingi...
FSG ni kansa kubakia Liverpool yaaani wametunyima mara nyingi sana proper recruitment wakati sahihi especially baada ya kushinda UCL na EPL ilikua wakati sahihi sana kufanya manunuzi ya kuboresha kikosi...
YNWA