Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mason mount ni Addition nzuri sana kwetu wakija mount, McAlister, na Tieleman kisha tukaongeza beki wa kati mmoja kwangu mimi usajili utakuwa umetisha sana. Kumbukeni Bajcetic msimu ujao anasehemu kubwa sana bado kuna Jones na Elliot. The future is bright
 
Wakati Southampton kuna Ward prawse.... .Bora kuliko mount
Aka the hockey stick boy....

Pale Southampton wapo wachezaji wafuatao mbao Klopp lazima awaangilie kwa jicho la kipekee especially kama wakishuka daraja
Kama ifuatavyo
Beki kuna
Muhammad Salisu CB
Duje culeta CB
Kyle Walker RB

Midfielders
James Ward Prowse
Mussa Djenapo
Diallo
Romeo Laiva

Hapo Klopp anapata squad player wa kueleweka na wenye uzoefu wa EPL.

YNWA
 
Kuna mtoto wamemtoa Ghana Suleimana pia anafaa sana
 
Angekua kibongo bongo ungesema Milner na Henderson wana kamzizi kutoka Kyela ka hatari sana aisee...

Ipo hivi hawa wachezaji sio machine aisee ni binadamu tangu Milner alivyoonekana ni surplus to requirement pale Manchester City wameshashinda nadhani mataji manne au matano ya EPL hivyo utaona impact ya kuodoka kwake ilikua sawa na hakuna.. Cha kujiuliza kipi kimewafanya wenye maamuzi kukomaa na hawa over 30s kwa muda huu na mikataba mirefu ni ajabu kweli

YNWA
 
Replacement za
Firmino
Milner
Ox
Keita ni zipi so far?
Nimemsikia McAllister only...any news?
As usual Klopp na jopo lake ni under the carpet design kama alivyotua Jota na Fabinho...

Wengi wanatajwa kuhitajika kama vile Mount, Rice, Kevin Philips, Mac Alister nk angalau kwa Mac Alister Fabrizio kasema Liverpool wame approach kambi yake na ofa na mpango kazi wa Liverpool msimu ujao hivyo wanategemea majibu soon... Mtihani ni pale unasoma kwamba Brighton wanauza Β£70m Mac Allster na Caiceido.

YNWA
 
Usinilishe maneno mie
Sijataja jina πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unamuonea tu aafu walishaji wa ma assist ni Milner, Henderson πŸ˜‚πŸ˜‚like serious Miss Liverpool haha wakati yule muachia nywele analishwa na prime KDB, Grealish, Mahrez, Gudgon πŸ˜‚πŸ˜‚ebu tuishie hapo.

YNWA
 
Aisee ngoja nimwite Malafyale Liverpool owner toka Ipinda Kyela..
Utatueleza vizuri kuhusu Kyela🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ Unamuonea tu aafu walishaji wa ma assist ni Milner, Henderson πŸ˜‚πŸ˜‚like serious Miss Liverpool haha wakati yule muachia nywele analishwa na prime KDB, Grealish, Mahrez, Gudgon πŸ˜‚πŸ˜‚ebu tuishie hapo.

YNWA
Huyo Manunuz wako sijamtaja MimiπŸ˜‚
Niache🀣

Yule dogo mweupe kama karatasi,bila kuwa na kikosi bora asingetoboa..
Ni European biscuits tupu kuanzia kichwani 😁
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…