Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃLol haya. Angalau ulichagua timu sahihi ya kushabikia kuja kwa Majogoo Wakali wa Jiji.

YNWA
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Steve G huyo alinichagulisha hii timu.
Nikawaga nampenda tu enzi hizo sielewi chochote
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Steve G huyo alinichagulisha hii timu.
Nikawaga nampenda tu enzi hizo sielewi chochote
Steve G ni special breed. He is Liverpool and Liverpool is him...

Tangu astaafu hatajapata mchezaji mwingine kama yule kwa kua ni generation talent hua hawapatikani kirahisi...

YNWA
 
Wewe kweli ni wa kumsnitch Milner hivi?๐Ÿ™Œ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ
Angalau yule Bachelor atupumzishe Aisee
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Yaaaaaani huyu Milner na Henderson sinaga kabisa mood nao tangu ile gemu ya Chelsea msimu uliopita ugenini tukatoka sare EPL kwa makosa yao ya kujuajua sana wala siwahitaji kabisa. Huku Kipara akipata ubingwa... Hawa ni wakuachiliwa mbali sanaaaaaaa

YNWA
 
Tetesi zinasema Mac Allister bei ni zaidi ya ยฃ70m ndio Brighton waamue kuuza kwa kua huyu dogo ana mkataba nao mpaka 2025... Kama kweli huyu hatufai kabisaa maana hana hio value unless iwe design kama biashara ya Nunez kwamba adds on ziwe kama nusu bei yake.

YNWA
 

Kumb ni kaka yake? [emoji3060][emoji3060][emoji3060]Sikuwa najua hili.

Yeah ile ile 2020 alipaswa kuondoshwa 2021 ox na keita 2022 matip na gomez tusingeyapitia haya.

Naona recruitment board imeweka ngumu kwa Milner, Ox na keita kuongezewa mkataba. Wamemkaanga Klopp.
Alitaka kumuongezea Bobby, Bobby akamuwahi akataka kumuongezea Milner, Milner na kina Ward wakamuwahi.

[emoji28][emoji28][emoji28] au Klopp mwenyewe kawazunguka wanae tu anawazuga..??? Maana baada ya kuchabangwa 3-0 na Wolves alisema we need huge changes and we will do this time.


Tumshukuru Milner kwa yote, ana mazuri yake pia.

YNWA
 

[emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka huku Mourinho huku Wenger huku Big Sam

Epl back days. Atleast Wenger kati yao ila Wenger lawama zake zilikuwa kwa FA tu[emoji28][emoji28][emoji28].

Mourinho yeye kwanza anaanza na wachezaji wake makavu live, kama refa alikorogesha mambo anambwatukia mwisho kabisa anawajaa FA
 

Kwanza jamaa kagoma kudondosha sign.
Halfu ugumu ni mkataba wa miaka miwli uliobakia.
Brighton wenyewe hawataki kumuachia ikiwa watafuzu mashindano ya ulaya.

Sema wana sera nzuri. Hawamzui mchezaji kuondoka ikiwa ataridhia kuondoka na timu itakayomtaka wafikie bei tu basi.

Ngoja tuone Ward atafanikisha vipi hili deal.

Naamini kuna players wawili watasajiliwa kama Gakpo kimya kimya tu. Maana huko sokoni ukisubiri June umeumia.

West ham wamesema Declan ni ยฃ100m [emoji28][emoji28]

Jude + Declan + Grealish = ยฃ330m hatari sana hawa English players
 
Good days to start the weekend... Wasisahau na dogo Henderson hata bure [emoji2][emoji2][emoji2]

YNWA
[emoji599][emoji838] | ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž: James Milner

After 8 years, James Milner will leave Liverpool at the end of the season to join Brighton โ€” here we go! [emoji1022]๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ[emoji1756]

โ—‰ Milner has accepted all the details of Brighton bid โ€” contract will be valid until June 2024, deal set to be signed.

โ—‰ Heโ€™s gonna follow Brazilian star Joรฃo Pedro who has already signed contract as new Brighton player on ยฃ30m deal from Watford, as revealed last week.

[emoji1309] Not just Milner but also Naby Keita and Alex Oxlade-Chamberlain will leave Lierpool as free agents in June.

#lfc #liverpool #anfield #brighton #bhafc #milner #ucl #transfers #premier #epl #england #herewego
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bora Hendo.
 
Keita, walikuonea sana kukupa jezi namba 8 ya SG huku wakijua wazi kabisa hata uwezo wa jonas mkude huna

Kwaheri baba, nitakukumbuka kwa goli lako la ufunguzi dhidi ya manyumbu pale Old toilet tulipowanyoosha 5

Otherwise sina kumbukumbu zozote za kiwango chako tangu utue Anfield
 
Kwenye picha za jezi mpya hayupo Milner wala Keita wala Ox...naona hao wanaondoka ..lakini Matip yupo
Matip na Gomez ni kopo na mfuniko. Hawa kua Liverpool mpaka sasa ni aibu ya karne kwani kwa pamoja hawana jipya wala kukupa mechi 40 dakika 90 combined...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ