Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Ila kununua kama Chelsea bila kuzingatia uwiano wa mahitaji nako ni tatizo kubwa sana aisee.Yaani Sasahivi inabidi tufungwe mechi zote zilizobaki ili angalau bangi zipungue kichwani kwa huyu mzee.
Hatuwezi kufungwa mechi zote aliyakuwa wazalendo Milner na Henderson wapoYaani Sasahivi inabidi tufungwe mechi zote zilizobaki ili angalau bangi zipungue kichwani kwa huyu mzee.
Macho yake yanaonyesha tu[emoji38]
Captain Marvelous hebu weka tena ile picha ya kijana wa hovyo
Champions League msimu huu au msimu ujao.. Kama ni huu katazame tena msimo ndugu...
FSG na Klopp have been caught snapping on the job... Dalili zilikua wazi kwamba dirisha na January 2023 litumike powa kuweka msingi pale Midfield lakini tukashangaa wanakopi usajili wa Diaz ulivyoleta amsha amsha January 2022 hivyo akaja sajiliwa Gapko usajili ambao ni sahihi wakati usio sahihi... Sasa Klopp hana cha kufanya zaidi ya kumchezesha Milner ma wazee wenzie angalau aambulie Europa... Poor transfer planning ya Klopp kwa kigezo cha Bellingham as if he is the next Pirlo au Steve G.. Bure kabisa huu uongozi.
YNWA
Mkuu asikwimbie mtu pigo la kukosa Champions League madhara yake sio ya kitoto ujue... Ukumbuke Liverpool wanatumie zaidi ya asilimia 70 kulipa mishahara ya wachezaji na supporting staff wa klabu hivyo kukosa ule mpunga kunaleta madhara makubwa kimapato japo kwa matangazo na kuongezeka expanded match day income pale Anfield kutasaidia kupunguza makali lakini FSG wana hali tete... Soon utasikia wamepata kuuza hisa kadhaa kwa£500m kwa fulani maana Gordon alishasepa kutoka Uingereza na kuhamia US ili akamilisha mauzo ama uwekezaji wa Liverpool...
YNWA
Kitendo cha kumng'ang'ania Milner ambae hana jipya la kutuonyesha ni udhaifu wa Klopp kua na soft spot ya hawa watoto wa Mflame Charles...
Fergie alikua na hair dryer pale Manjesta na sidhani kama kuna mchezaji alieikosa japo alieongelewa sana ni Beckham lakini wengi hii kitu walikutana nayo... Sasa unajiuliza Fergie aliweza aje kushinda yale mataji mengi vile tena akiwa na wachezaji wa kuunga unga akina Oshea nk lakini alikua brutal n lethal pale inapobidi na boys delivered kwa kweli... Huyu wetu anadhani yupo na miaka 100 pale maana unaweza kupanga hawa wachezaji watastafia hapa aafu naanza upya kujenga kikosi kwa kua hakuna continuity na kwa vile FSG amewakusia biashara basi wao wametulia tuliii... Allison, VVD, Henderson, Salah nk hawa watastafia pale pale na wenyewe sasa ni mashahidi kwa kukosa mbadala wa VVD 1st 11 tunapata show za break dance on ice [emoji28][emoji28]...
YNWA
Jota kwenye one vs one akiwa upande ule wa kushoto ni nadra sana atakosa kufunga aisee. Boy has class and he delivered the goods when its mattered.
Kitendo cha ile mechi sikumbuki ilikua ugenini ama Anfield dogo Kane alikosa kupata kadi nyekudu ni pigo kwetu last season ukija kujuisha matukio na ile imo maana baada ya Kane kubakia uwanjani kwa ile crazy tackle alikuja akafunga goli na tangu pale sasa hawa Spurs ni sworn enemies sasa weka na refa yule yule aliekosa kumpa dogo Kane ile kadi basi ujue it's means more kuwachapa hawa jamaa.
YNWA
Prove me wrong
Bring here your birth certificate
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Palacw duuh yule dogo Dwight Gayle alitunyima ubingwa.. I remember Surez cried like a baby.Kabisa.
Halafu Kane anahojiwa mwisho wa mechi anadai hamukumuona Robbo, damn it.
Hizi moments hutengenezwa na wachezaji pamoja na marefa pia. Kwa makocha is slightly to happen.
Spurs akiwa Richarlson wataona moto tukikutana nao.
Palace baada ya ile comeback ya 2014 from 3-0 to 3-3 basi waka raise up their matches vs us. Baada ya muda mfupi wakatulia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Time will tell mate.
YNWA
Chamberlain na Keita ikiwezekana wavunjike japo miguu wasicheze tena ili waondoke.Deal agreed.
Ila kua makini na na babu wasije badili mambo tukabakia na Ox na Kieta 😂😂😂.
As i told in ua dreams.
YNWA
[emoji1552][emoji1552][emoji1552][emoji1552]Palacw duuh yule dogo Dwight Gayle alitunyima ubingwa.. I remember Surez cried like a baby.
That why EPL is special aisee no matokeo ya mfukoni kabisa.
YNWA
Mfia timu wetu🔥🔥
Nilicheka😂😂😂
Chizi wewe😆Hatuwezi kufungwa mechi zote aliyakuwa wazalendo Milner na Henderson wapo
Na mibleach yake anakeraToka akiwa jiji la Liverpool pale Merseyside blue, alikuwa wa hovyo akicheza na sisi
Hataki kuweka cheti cha kuzaliwa.[emoji28] but why