Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
π π π π Mpe heshima yake ya kutengeza nafasi za kufunga bhana.Anazidiwa hadi na Hendo kuzuia
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Hendo anajua kuzuia.π π π π Mpe heshima yake ya kutengeza nafasi za kufunga bhana.
Henderson hua naona anakimbia kama jogoo wa Tukuyu. Nae hana afadhali bhana ni wale wale.
YNWA
Minywele yake Mimi inanikera sana aisee π€£ π€£ π€£Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Hendo anajua kuzuia.
Assist pia anatengeneneza.
Kinachombeba Trent ni kona anazopewa kupiga.
Tulia MazziyahMinywele yake Mimi inanikera sana aisee π€£ π€£ π€£
Nyumbu umevamia humu π€£ π€£ π€£Tulia Mazziyah
Jana mmenyooshwaaaaNyumbu umevamia humu π€£ π€£ π€£
Duh Wewe Jana tulishinda 4-3 japo walikuwa wanatukimbiza sana, Wewe Nyumbu jana Aston Villa alikuwa anakupelekea pumzi ya motooo π€£ π€£ π€£Jana mmenyooshwaaaa
MmenyooshwaaaaDuh Wewe Jana tulishinda 4-3 japo walikuwa wanatukimbiza sana, Wewe Nyumbu jana Aston Villa alikuwa anakupelekea pumzi ya motooo π€£ π€£ π€£
π π π Yaaaaaani leo wewe wa kumtetea Henderson khaaa au umedukuliwa...Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, Hendo anajua kuzuia.
Assist pia anatengeneneza.
Kinachombeba Trent ni kona anazopewa kupiga.
Mie nimepaki bus matopeni na kileleni πππWewe Nyumbu jana Aston Villa alikuwa anakupelekea pumzi ya motooo
Hapa umeongea point, Si unajua Wachezaji wetu wengi wameshachoka? maana ile formation ya timu ni ya kutumia sana nguvu na kasi... π€£ π€£ π€£ π€£Mmenyooshwaaaa
Kurudishiwa 3 sio mchezo.
Mna bahati
Hamia anfield Wewe ili next season twende tukaangalie hata ball pale π€£π€£π€£Mie nimepaki bus matopeni na kileleni πππ
Spurs wao wameridhika na status quo kwamba wanapambana kucheza Europa au UCL lakini usajili wa Conte ulikua ku challenge Kipara sasa alichokutana nacho msimu huu hana hamu kabisa... The other day Kane amehojiwa akasema tangu aodoke Pochetnho ni kama ari ya ushindani imeshuka sana klabuni kiasi haya sasa ilikua ni time bomb na sasa limelipuka....Yaani Conte alwaambia ukweli wale wachezaji wa Tottenham hotspur wamezoea kucheza bila pressure yaani they don't fight for anything
Conte aliona Ana coach bunch of useless grown up people maksudi akasema Ile kauli wamfukuze
Pochetino alikuwa designed for Spurs like Klopp for UsSpurs wao wameridhika na status quo kwamba wanapambana kucheza Europa au UCL lakini usajili wa Conte ulikua ku challenge Kipara sasa alichokutana nacho msimu huu hana hamu kabisa... The other day Kane amehojiwa akasema tangu aodoke Pochetnho ni kama ari ya ushindani imeshuka sana klabuni kiasi haya sasa ilikua ni time bomb na sasa limelipuka....
Ndani ya miaka mitano 5 wametimua ma kocha watatu pound for pound aiii hio tatizo la ukocha tena mbali ni bigger problems within.
YNWA
Ila huwa anakaba bwana.π π π Yaaaaaani leo wewe wa kumtetea Henderson khaaa au umedukuliwa...
Henderson nae ni sababu ya sisi kua wasidikazaji kwa Kipara. Anachojua ni kupiga mdomo na kurusha mikono tu ba kutoa lawama kwa wengine yaaani huyu katunyima ubingwa zaidi ya mara mbili sina hamu nae aafu eti yupo mpaka 2025 ndio nachoka kabisa...
YNWA
Ila huwa anakaba bwana.
Timu kuporomoka ni matokeo ya tiresome wachezaji wote., Si Hendo pekeyake.
Sasa Trent kupokonya mpira huwa ni kipengele.
Sijui nani alikashauri kufuga,Minywele yake Mimi inanikera sana aisee π€£ π€£ π€£
Hukohuko kuzuiazuiaHajui Kukaba Henderson huwa anazuiazuia tu π€£ π€£ π€£
Yaani tot walikosea Sana kumfukuza pochetinnoSpurs wao wameridhika na status quo kwamba wanapambana kucheza Europa au UCL lakini usajili wa Conte ulikua ku challenge Kipara sasa alichokutana nacho msimu huu hana hamu kabisa... The other day Kane amehojiwa akasema tangu aodoke Pochetnho ni kama ari ya ushindani imeshuka sana klabuni kiasi haya sasa ilikua ni time bomb na sasa limelipuka....
Ndani ya miaka mitano 5 wametimua ma kocha watatu pound for pound aiii hio tatizo la ukocha tena mbali ni bigger problems within.
YNWA