Pia inategemea...kuleta wachezaji wengi wageni kwenye mfumo au ligi Mpya tena kwa mkupuo mmoja ni changamoto itawahitaji mda mpaka wanate na biti kumbuka kilichowatokea Fulham kipindi wanashuka daraja kabla ya kupanda Msimu uliopita
Klopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli
YNWA
Yes Mkuu...hao wazee wawe wa kumalizia dakika Tu huku wakingojea kustaafu..ila huyu keita na ox wauzwe ili waje wengine wawili wawe regular starter huku TAA akisogea kiungo ya kupanda halaf Gomez awe Kulia kule bila kusahau Ramsey anakuwa Super SubUnamanisha Henderson na Milner au.
YNWA
Akipunguza Mapepe ni bonge moja la ForwardConverting chances into goals ndipo pamebaki.
Nunez 1v1 inamtesa sana, Clear chances alizokosa kama angefunguka angekua na 20+ EPL goals hizi ni nafasi za waaaaaaazi kabisa.
Naamini Klopp atampika na atakaa sawa.
YNWA
Nunez msimu ujao atakua hatari SanaKlopp alishasema with Nunez its all good na hilo linatosha kabisa. Msimu huu kwake tangu ile kadi nyekudu vs Crystal Palace ilim mvuruga lakini anafanya yote mazuri kasoro kufunga tu ndio stat zake zinaonyesha yupo kwenye nafasi ya 90+ Europe kwenye converting ratio sasa Klopp kazi kwake dogo aanze kuleta magoli
YNWA
Mkuu Kieta na Ox wanaodoka bure kata klabu kupata mia... Kama alivyoodoka Emre, Gini, Origi, Lallana nk ndio na hawa Firmino, Ox na Kieta wanasepa bure na hii ni biashara mbaya kwetuYes Mkuu...hao wazee wawe wa kumalizia dakika Tu huku wakingojea kustaafu..ila huyu keita na ox wauzwe ili waje wengine wawili wawe regular starter huku TAA akisogea kiungo ya kupanda halaf Gomez awe Kulia kule bila kusahau Ramsey anakuwa Super Sub
Kweli kabisa ni business ya kiwaki Sana ...sema Firmino tumemtumia mpaka last drop waache wakammalizie huko Ila kiukweli huduma aliyokuwa anaitoa pale mbele ni extraordinary [emoji2772]Mkuu Kieta na Ox wanaodoka bure kata klabu kupata mia... Kama alivyoodoka Emre, Gini, Origi, Lallana nk ndio na hawa Firmino, Ox na Kieta wanasepa bure na hii ni biashara mbaya kwetu
YNWA
Hivi kwa sasa pale Liverpool nani apewe mikomba ya Firmino, je Jota au Gapko..Kweli kabisa ni business ya kiwaki Sana ...sema Firmino tumemtumia mpaka last drop waache wakammalizie huko Ila kiukweli huduma aliyokuwa anaitoa pale mbele ni extraordinary [emoji2772]
Gakpo kwa nnavyomwona sio selfish anaweza kuwa mbadala japo kwa asilimia kadhaa. Klopp atafute mfumo Nunez acheze mbele Gakpo kwa nyuma alafu kushoto kuwe na pilipili Diaz...Jota aanzie bechi Kulia Ostadh[emoji106][emoji91]Hivi kwa sasa pale Liverpool nani apewe mikomba ya Firmino, je Jota au Gapko..
Dogo Bobby alikua injini ya Klopp... Klopp kuna wakati alisema... Firmino is the system...
YNWA
Alafu Milner na Henderson wakae katiGakpo kwa nnavyomwona sio selfish anaweza kuwa mbadala japo kwa asilimia kadhaa. Klopp atafute mfumo Nunez acheze mbele Gakpo kwa nyuma alafu kushoto kuwe na pilipili Diaz...Jota aanzie bechi Kulia Ostadh[emoji106][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alafu Milner na Henderson wakae kati
Nadhani pembeni akae Ox
Diaz ni mridhi wa Mane, Nunez akismama kati nyuma yake inawezekana akacheza Jota au Gakpo wote wana huo uwezo na Klopp yupo trial mode kwa hizi mechi mbili za mwisho baada ya kuona hana cha kupoteza ameamua pre season ianze sasa. Kulia Salah ana hati miliki napo na kwa hua ana deliver ni sawa tu...Gakpo kwa nnavyomwona sio selfish anaweza kuwa mbadala japo kwa asilimia kadhaa. Klopp atafute mfumo Nunez acheze mbele Gakpo kwa nyuma alafu kushoto kuwe na pilipili Diaz...Jota aanzie bechi Kulia Ostadh[emoji106][emoji91]
π π π FSG are clueless... They let 2 magical chances pass hivi hivi.. Baada ya kuchukua Champions League na baada ya kuchukua EPL, huo ulikua muda sasa kuwekeza tena kikosi kwa mipango dhabiti na kununua kimkakati matokeo yake wao wakaanza kugawa mikataba kwa akina Milner left and right sasa limewakuta hawana kujificha kwa kua hakuna majibu ya kutoka ndani bila kuingia sokoni hakuna kingine...Mimi ntaenda pale anfield na Bango la kizungu na la kiswahili
FSG out
Kiswahili FSG nje wasimbe nyie
Ntahakikisha mnaona hilo
π π π Media bluff[emoji599] NEW: Barcelona are reportedly watching Trent Alexander-Arnold. #lfc [fichajes]
No chance [emoji1787]
Ndo nini hii??!!! Watu wengine bhna.Alafu Milner na Henderson wakae kati
Nadhani pembeni akae Ox
Sometimes jamaa anaboa sanaNdo nini hii??!!! Watu wengine bhna.
Sometimes jamaa anaboa sana
Kikosi cha ushindiNdo nini hii??!!! Watu wengine bhna.