Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Why is Carvalho on the list... The boy just lack EPL physique of which am sure club dietitian Mona Nemmer is working with the boy to raise his body standards for EPL pressure. Boy should be sent to Blackburn together with Ben Doak for a full season loan next season.Liverpool ni moja ya vilabu vinaisubiri summer hasa zaidi mashabiki na wanachama wake.
Tetesi ni nyingi na zitakuwepo tu. Ila deal litakaloshangaza ni Madrid kukubali kumuuza tchoumeni kwa LFC, ikiwa ndio msimu wake wa kwanza pale Santiago. Ikumbukwe LFC walikua favorite kuseal deal kabla ya kuwa hijacked na bwana Perez.
Jude (huenda kweli Klopp amelower interest kwa Jude au ni kujaribu kupunguza bei au itategemeana na season imeishaje).
Nunes (huyu alikua heavely linked na lfc kutoka Benfica baadae Klopp akajitoa baada ya kuona wolves wanamtaka (indirect loan [emoji28])). Sasa Klopp amerudi kumuwania tena Nunes (Nunes to Nunez Gooooooooal.!)
Barella tetesi zinaonesha Klopp anamhitaji Barella LFC kufanya nae kazi.
Najua Klopp na ward wana list yao on the table watakaoachwa na wanaofukuziwa.
Kwa vyovyote itakavyokua Mbinu za Klopp bado zitawatesa wengi ikiwa tu atapata fresh legs. Bado Klopp ana mvuto haijalishi atamaliza wapi msimu ila atasajili wachezaji wazuri tu.
Kuna wachezaji wapo njia panda hawajui hatima zao zitakuaje na Klopp amewaacha njia panda makusudi ili wampiganie amalize msimu atleast top six kwa mechi zilizosalia.
Ila ni wazi
Ox
Keita
Adrian
Milner
Hawa ni bye bye…!!!
Kuna
Matip
Jones
Kelleher
Carvalho
Ama (Mkopo au kuuzwa)
Bobby tayari.
Bado mimi ni miongoni mwa ninaomuamini sana Klopp na ataturejesha kwenye ramani ya mpira licha ya misimamo yake inayokera. Kidoooogo ameanza kukubaliana na hali TAA is no more a defender. Ameanza kupunguza loyalty kwa watoto wake pendwa akifanikiwa kuacha baaaaasi watu wataumia.
Msimu mbaya sana huu, bora ule wa 2020/2021 japo nao haukuleta matumaini mpka dakika za mwisho.
YNWA.
Hao watatu itakua zaidi ya £180m ina maana ela ya beki mmoja itakua haipo ndugu.Caicedo
Barela ..
Declan...hapo tutakuwa tumefanya la maana
Kwani si kaomba bajeti ya 300??Hao watatu itakua zaidi ya £180m ina maana ela ya beki mmoja itakua haipo ndugu.
Ninavyoona hapa tunahitaji big game player mmoja ambae ni Barella aafu tupate utility players watatu na mahala sahihi pa kutua ni Southampton kama wakishuka daraja pale kuna Laiva 19 na Musa Djenepo miaka 24 kwa hapo Klopp atakua bado na ela ya kutazama MF mwingine aisha Uholanzi au Ujeremani.
Rice bei yake sio ya maadazi sema kwa vile msimu huu wamekua hovyo wanaweza kulegea kiasi.
YNWA
😂 😂 😂 Yaaaaaani FSG watoe like 300...msikilize Klopp kashaanza kujipanga ma juzi kasema...ndio tutanunua wachezaji lakini najua KUNA MASHABIKI HAWATARIDHIKA KWA KUA HATUWEZI KUNUNUA WACHEZAJI WANAVYOTAKA.... Mpaka ujue Klopp pengine kaambiwa ipo 100 tu haha nyingine auze aongezee... Klopp ana mabosi watata sana vitu vingine hua unajiuliza kama kweli ni Klopp anakua na say ya mwisho kwenye usajili maana let's be sincere kwa miaka mitano kusajili MF wawili ambao ni wagonjwa Kieta na Thiago ni upofu wa hali ya juu sanaaaa... Tukumbushane kwamba Klopp alikwenda mazima kwa Tchouameni dogo akachagua Los Blonco swali je hapakua na mbadala kwa kua ilikua well documented MF ni mfu matokeo yake tukaona Nunez na Gakpo wamenunuliwa huku pale kati pakiwa pako vimbaya zaidi... Aidha Klopp ana imani za Jupiter au wanaofanya maamuzi ni wengine na yeye ni rubber stamp.. Maana how do you go shopping for a pair of trousers and change ua mind and buy a pair socks huku ukiwa bado mahitaji yako pale pale...Kwani si kaomba bajeti ya 300??
Pale anakula karibu 300k kwa wiki ela ambayo kwa FSG inakua capped kwenye makorokoro mengi sana ili kuipata hivyo Mane kwa umri wake atulie alipo huu ni upepo tu utapita.Kijana Mane kashapigwa nondo kwa muda usiojulikana Bayern huko, huyu kiangazi aje amalizie soka lake Anfield
JF ni kwa ajil ya great thinkers sasa wewe unakuwa na mawazo finyuMilner
Ox mtaalumu
Henderson
Wanatosha hakuna haja ya usajiri mpya
Mbona hata Salah huwa ananuna sana tu.
Tusimuonee Mane,,lazima alikorofishwa kiasi cha kushindwa kuzuia hasira yake.
Mane ni mtu poa sana.
Whats happens behind the closed doors stays behind closed doors...
YNWA
Klopp always act like an Italian godfather to this bunch of kids...
Lets hope issue of Mane and Sane will be sorted amicably.
YNWA
Why is Carvalho on the list... The boy just lack EPL physique of which am sure club dietitian Mona Nemmer is working with the boy to raise his body standards for EPL pressure. Boy should be sent to Blackburn together with Ben Doak for a full season loan next season.
Kelleher is direct sale no loan. Allison is there until 2027 if he honour his current contract and maintain the standards.
YNWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaaaaaani FSG watoe like 300...msikilize Klopp kashaanza kujipanga ma juzi kasema...ndio tutanunua wachezaji lakini najua KUNA MASHABIKI HAWATARIDHIKA KWA KUA HATUWEZI KUNUNUA WACHEZAJI WANAVYOTAKA.... Mpaka ujue Klopp pengine kaambiwa ipo 100 tu haha nyingine auze aongezee... Klopp ana mabosi watata sana vitu vingine hua unajiuliza kama kweli ni Klopp anakua na say ya mwisho kwenye usajili maana let's be sincere kwa miaka mitano kusajili MF wawili ambao ni wagonjwa Kieta na Thiago ni upofu wa hali ya juu sanaaaa... Tukumbushane kwamba Klopp alikwenda mazima kwa Tchouameni dogo akachagua Los Blonco swali je hapakua na mbadala kwa kua ilikua well documented MF ni mfu matokeo yake tukaona Nunez na Gakpo wamenunuliwa huku pale kati pakiwa pako vimbaya zaidi... Aidha Klopp ana imani za Jupiter au wanaofanya maamuzi ni wengine na yeye ni rubber stamp.. Maana how do you go shopping for a pair of trousers and change ua mind and buy a pair socks huku ukiwa bado mahitaji yako pale pale...
Am so at peace FSG kukosa mpunga wa maana wa kushiriki Uefa next season, we are hurting as mashabiki lakini kwao it's will hurt more especially wages nk they will feel th impact n that fair result.
Bila FSG kupata cash injection au mkopo we are heading south big time man.. Huu ni mwanzo.
Kuodoka kwa guru Edwards na Julian kuna maswali mengi sana lakini ukitazama tu haraka haraka utaona hawakusikilzwa input zao na mwishowe wakaone isiwe ishu wamejijenga pa kutosha.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haha kina Melissa wanahangaika na hizo hearsay. Ila inasemekana Sane alimwambia Mane “Black Shit” kufumba na kufumbua Sane mdomo umepasuka.
Kwa kujenga mikiki ya real competition mahala sahihi ni Championship kwa kua kule anapata dakika za kutosha lakini EPL na ule mwili wa Carvalho hatapata dakika za kutosha.Carvalho loan inamtosha but abakie EPL midtable club. Ila itategemea na atakavyojituma pia kuraise his physic.
Yes Doak apate Championship loan full season. Kaide Gordon sijui yamemkuta nini hana progress chanya kabla ya injury yake ile, wakati anaanza kuingia kwenye timu pole pole.
Already the indicators are painting a very slim future.We Shall See
Melissa kuna tetesi kipindi fulani kwamba anatoka kimapenzi na Mane.Haha kina Melissa wanahangaika na hizo hearsay. Ila inasemekana Sane alimwambia Mane “Black Shit” kufumba na kufumbua Sane mdomo umepasuka.