Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,699
Kwaiyo Milner mitano tena ni mpiga penati mzuriNimeshangaa jamaa kuachiwa tena Penati wakati mechi tu iliyopita ametuchomesha hivihivi
Mara mia awe anaachiwa Fabinho..
Kwanza mechi za Penati ndio huwa nauona umuhimu wa Milner.
Milner aongezewe mkataba wa maisha [emoji1478]Nimeshangaa jamaa kuachiwa tena Penati wakati mechi tu iliyopita ametuchomesha hivihivi
Mara mia awe anaachiwa Fabinho..
Kwanza mechi za Penati ndio huwa nauona umuhimu wa Milner.
Kote umekwenda sawa ila ulivyotaja Milner tu nikaona Bachelor ll kashakurubuni.Nimeshangaa jamaa kuachiwa tena Penati wakati mechi tu iliyopita ametuchomesha hivihivi
Mara mia awe anaachiwa Fabinho..
Kwanza mechi za Penati ndio huwa nauona umuhimu wa Milner.
Tumpe hata FabinhoKote umekwenda sawa ila ulivyotaja Milner tu nikaona Bachelor ll kashakurubuni.
Hata ikitokea tena Salah ndio mpigaji..
YNWA
Klopp hapangiwi. Ngoja tuone usije shangaa akampa Hendersonπππ.Tumpe hata Fabinho
Salah sina hamu naye tena kwenye penati
Achana na Bachelor huyo [emoji1787]
Ni anasumbua majukwaa yote
Atakosa tena bora apewe Milner au Henderson abebe jukumu la kutuvushaKote umekwenda sawa ila ulivyotaja Milner tu nikaona Bachelor ll kashakurubuni.
Hata ikitokea tena Salah ndio mpigaji..
YNWA
Apewe yeyote ila siyo Salah na VVDKlopp hapangiwi. Ngoja tuone usije shangaa akampa Hendersonπππ.
YNWA
Mm naona iweApewe yeyote ila siyo Salah na VVD
Basi tumpe Allison jembe.Apewe yeyote ila siyo Salah na VVD
Hebu niache bwana bachelor [emoji1787][emoji23]Mm naona iwe
Milner
Ox
VVD
Na super Henderson
Kubwa zaidi wote hao wapewe mkataba wa miaka 20 wagawane
Fabinho muda huo anafanya nini?Basi tumpe Allison jembe.
YNWA
Naona mnataka kupora haki ya Milner na Ox kupiga penati matata kama za Luis figoHebu niache bwana bachelor [emoji1787][emoji23]
Naongea na Bobby wangu
π π π π π Ili hawa in fields wasiseme Klopp kawa na upedeleo eti.Fabinho muda huo anafanya nini?
Cc Jammie Carragher.
If Allison tries to do so, he will probably miss just as Salahπ π π π π Ili hawa in fields wasiseme Klopp kawa na upedeleo eti.
YNWA
π π π π π Have faith Salah will rectify this trend very soon.If Allison tries to do so, he will probably miss just as Salah
Sina imani na hawa magolikipa kupiga penati unless there is no other option.
Toka timu yake ya taifa anakosa penati muhimuπ π π π π Have faith Salah will rectify this trend very soon.
YNWA