Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,582
- 235,437
Leo hujasema their bodies are made of Indian biscuitsπππππ π π π π Matip muda wake klabuni umeisha ni ngumu kua na back up wawili na wote ni wagonjwa Gomez na Matip na huku nae Konate sio serial fit always ana injuries here n there...
YNWA
Baba yetu Klopp Hendo aharibu asiharibu,nafasi yake iko palepale..ana assurance ya kuanza.Msome Pep Guardiola hapa anasema chini yake hana upedeleo lazima kila mchezaji ajitume kuelewa mfumo. Yeye haangalii jina mbali kama mchezaji husika anaelewa anatakiwa afanye nini na wakati gani uwanjani.. Hii ni tofauti kubwa sana na Klopp wetu yeye kasha kopi na ku pasti
Pep says "Look at Nathan this season. Last season he didn't play one minute and now he is undroppable. It happens.
"Nobody has a guarantee with me. They have to earn it and sometimes we need a different shape for the way we build up or defend. Some players adapt better than the other ones.
"They take it personally but we are not against them. We just need something and try to use it."
YNWA
ππππππππππHahahahaha una hamu na biscuit wewe si bure achana nazo meno yataoza ujue.Leo hujasema their bodies are made of Indian biscuitsππππ
Atasema hana matokeo kwa kua LiveScore kule A City hakuna network mvua inachapa.OllaChuga Oc vp Chelsea kule?
Naomba biscuits Bobby [emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha una hamu na biscuit wewe si bure achana nazo meno yataoza ujue.
YNWA
Hapo ndipo Pep amempiku Klopp na kumpa fursa kutawala EPL kwa miaka yote hii.Baba yetu Klopp Hendo aharibu asiharibu,nafasi yake iko palepale..ana assurance ya kuanza.
π π π π π π Hahaha uuuuuuuui huachi biscuits jamani huogopi yale masidano ya ganzi wakati wa kung'oa jino π€π€...Naomba biscuits Bobby [emoji39]
Kuna jino lishaoza,nawaza hapa nalifanyaje maana linaniuma ila biscuits siachi[emoji14].
Ila hako kamsemo kako hadi nimekameza[emoji23][emoji23][emoji23]
Sing'oi aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahaha uuuuuuuui huachi biscuits jamani huogopi yale masidano ya ganzi wakati wa kung'oa jino [emoji848][emoji848]...
Konate, Thiago, Matip, Gomez, Ramsey, Keita hawa wote ni made of karachi biscuits hawana mifupa ya mikiki EPL wakupe mechi 35 EPL wakiwa starters.
YNWA
Usijali Mkuu.Liverpool kesho siku yenu hakikisheni mnaondoka na point kwa wale vidudumtu afe kipa afe beki.
Bila roho mbaya mambo hayaendiHapo ndipo Pep amempiku Klopp na kumpa fursa kutawala EPL kwa miaka yote hii.
Pep yupo brutal n lethal na hii imemsaidia kupata top class performance kutoka kwa vijana wake na Pep hua akiona hapati anachokitaka basi mapema sana mchezaji husika hana chake pale atapewa taarifa atafute timu ya kusepea.
YNWA
Wapo kumtukana Lampard huko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Atasema hana matokeo kwa kua LiveScore kule A City hakuna network mvua inachapa.
OllaChuga Oc [emoji3481] [emoji23][emoji23][emoji23].
YNWA