Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuna imani na Milner mitano

VVD ni kisiki na ukuta mitano tena

Anderson apewe muda

FSG kikosi kilichopo kinatosha
 
Mkuu mpambae atue pale Luis Enrique au Zidane na mambo yatakua πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯... Hizi tetesi za kwamba mnataka Rodgers, Silva wa Fulham mtaishia hapo hapo mlipo.

Lazima atue marquee signing ambae kwanza atamaliza ego za wachezaji na awe kiunganishi kati ya wachezaji, wamiliki na mashabiki...

Ama mrudi kwa Mourinho πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘.

YNWA
 
Mimi na Bachelor ll msimamo wetu ni uleule
Potter for life
Bring back our potter 🀣🀣🀣🀣
 
Tutakua back

Stronger than ever
Well with FSG stingy pockets we are heading south big time... Attracting potential target without Champions League becomes really difficult guys.. That means Klopp might pay over the means to nab the incomings...

FSG need to get financial backing by "outside" investors ili kutimiza kiu ya Klopp kusajili angalau
MF 3
CB 2
RB 1
RW 1

Mauzo sana sana atapata pesa akiwauza
Kelleher 😜sori Miss Liverpool
Phillips
Thiago well he need to go
Matip
Nk nk nk.

YNWA
 
Mkuu lembu nitakuwepo hapahapa mjini Anfield ya jf
Nipo nasubiri kutimiza ahadi endapo mtafanya njia pasipo na njia kwa kutufunga sisi miamba.
 
Ingekuwa ni wewe ungeweza kumvumilia Potter kweli?
Hivi wako na uhakika alikuwa kocha kweli?🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Poter huwezi amini kabla hajatua Chelsea nilikua namuona kama future contender wa mikoba ya Klopp na bado na imani nae πŸ˜‚πŸ˜‚ utanisamehe he is young with loaded potential.

YNWA
 
Muache Kalleher wangu jamani
Kuna mechi angepewa huyu mtoto tusingefungwa pengine.
Hapo Kuna mafurushi kibao ya kuyauza yakiongozwa na Milner.
 
Mimi na Bachelor ll msimamo wetu ni uleule
Potter for life
Bring back our potter 🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Poor Potter bila preseason amechemka idea zake kueleweka but inaonyesha ku survive hizo timu kubwa sio suala la kua na kipaji tu mbali kuna mambo ya ziada lazima kocha awe nayo. Naamini kazi yake baada ya Chelsea atakua smart enough.

YNWA
 
Kwamba unataka kusema ana kipaji?🀣🀣🀣

Hapo kati nilikuwa nimeanza kumdis Klopp,ila baada ya kumuona yule jamaa aisee,,Klopp ni bonge la kocha.
 
Muache Kalleher wangu jamani
Kuna mechi angepewa huyu mtoto tusingefungwa pengine.
Hapo Kuna mafurushi kibao ya kuyauza yakiongozwa na Milner.
Wafuatao mikataba yao inaisha June 2023 na nadra za kupewa mikataba mpya labda kwa mahaba ya Klopp lakini sio based on performance merit
Milner
Firmino,
Ox,
Kieta
Adrian

YNWA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Poter huwezi amini kabla hajatua Chelsea nilikua namuona kama future contender wa mikoba ya Klopp na bado na imani nae πŸ˜‚πŸ˜‚ utanisamehe he is young with loaded potential.

YNWA
Ilikuwa akili Yako timamu au ulikuwa umelewa Bobby wangu?🀣🀣🀣🀣
 
Kwamba unataka kusema ana kipaji?🀣🀣🀣

Hapo kati nilikuwa nimeanza kumdis Klopp,ila baada ya kumuona yule jamaa aisee,,Klopp ni bonge la kocha.
Utulie hivyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ulisema Klopp out Hahaha wala...

Klopp ana mapungufu yake lakini he is the best pound for pound gaffer out there... Winning every available trophy at club level kwa bajeti ya FSG ni pumping above his height... He is just tooo loyal kwa hawa wachezaji wake wakongwe jambo ambalo linatuumiza kiasi mpaka sasa ana EPL moko tu.

YNWA
 
Wote hawa ni mafurushi.
Ila yule baba bangi zake utashangaa wanabaki.
Firmino yeye kakwambia Klopp kwamba anahitaji kusaka new challenge kwingine na hana mpango wa kubakia Anfield...

Kieta hata leo asepe tu.

Milner hata sasa hivi asepe.

Ox duh after injury ya Roma vs Liverpool na ambayo ni injury ya kizembe kwa sababu hapakua na hatare na haikua na umuhimu sana ile tackling ambayo aliumia yeye.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…