Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Ox na Milner wanatoshaLooks like Jude is heading to Man City.
All that ground-work, countless meetings with Mark Bellingham (his father), verbal agreements, etc, means nothing at the end.
FSG, kwa mara nyingine tena, wametu-let down, cant say i'm suprised.
Waited and wasted 2 years for Jude, for NOTHING, and oh! before we put blame on Klopp, sidhani kama angeamua kumsubiria Jude bila kuwa ASSURED na FSG.
As long as FSG, wataendelea kuwepo at LFC, hatutakuja kuwa a serious club again.
Targets za Crops ni MilnerHii nimeisoma dogo Caiceido alipelekwa hawa jamaa kwa Β£4.5m wakasema pass ona sasa dogo alivyopanda value... Wakati mwingine hawa wenye maamuzi ya kusajili wakati mwingine hua wanishindwa kuona vipaji especially kwa hawa wachezaji wenye umri mdogo kama Caiceido nk
ETG akishapewa mpunga na kupunguza wale dead woods anaweza akafanya jambo... Wakati mwingine wala haihitajika kusajili wachezaji wengi mbali hata mmoja mchezaji kama Casmiro anaweza kuja na ushawishi kikosini na akabidili kabisa namna hali na kuleta ari mpya...
Uzuri hio June 2023 itafika tu tutaon niaje Ma Yankees wetu wamejiadaa kutuletea target za Klopp.
YNWA
Hapo sasa itakuwa Milner mikumi kabisaSi nakutandika ngumi halafu nakimbia
Yaani siku nikikuona unasema mbele yangu nakupigaππππππHapo sasa itakuwa Milner mikumi kabisa
Nasemea kwa Sasa mama sio siku zotwVVD aliyewaletea mdogo wake
Na amepambana kwa ajili ya mataji kibao
Na anacheza non stop
Leo mnasema amekuwa wa kipumbavu!?
Ile mechi ya juzi wachezaji wote wamezembeaNasemea kwa Sasa mama sio siku zotw
HahahaIle mechi ya juzi wachezaji wote wamezembea
Lawama anapewa VVD[emoji3064].
Atakaba wachezaji wote pekeyake?Hahaha
Sisi tunasomea vvd wa sasa sio yule tu namfahamu hakabi inavyopaswa kananyua makwapa juu mno
HayaAtakaba wachezaji wote pekeyake?
Badala umetete HB wako Joel wewe unakomaa na babu babukaπππ abakie tu hakuna noma wala nini maana awepos asiwepo hatuhami timu maumivu twapata lakini tumoooo sanaaa.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tuna imani naye
Inshu ya Caiceido na Man U haikuwa hivyo.Hii nimeisoma dogo Caiceido alipelekwa hawa jamaa kwa Β£4.5m wakasema pass ona sasa dogo alivyopanda value... Wakati mwingine hawa wenye maamuzi ya kusajili wakati mwingine hua wanishindwa kuona vipaji especially kwa hawa wachezaji wenye umri mdogo kama Caiceido nk
ETG akishapewa mpunga na kupunguza wale dead woods anaweza akafanya jambo... Wakati mwingine wala haihitajika kusajili wachezaji wengi mbali hata mmoja mchezaji kama Casmiro anaweza kuja na ushawishi kikosini na akabidili kabisa namna hali na kuleta ari mpya...
Uzuri hio June 2023 itafika tu tutaon niaje Ma Yankees wetu wamejiadaa kutuletea target za Klopp.
YNWA
Si tulishakubaliana Matip wangu yupo sanaBadala umetete HB wako Joel wewe unakomaa na babu babuka[emoji23][emoji23][emoji23] abakie tu hakuna noma wala nini maana awepos asiwepo hatuhami timu maumivu twapata lakini tumoooo sanaaa.
YNWA
ππππππππππππLiverpool are preparing a new contract extension for James Milner. #lfc [@SportsPeteO]
Pumbavu sana....
Nawewe mnaziSi tulishakubaliana Matip wangu yupo sana
Kwani mnataka kumfukuza? π
Ntamuangalia nani sasaπ€£π€£π€£π€£
Chagua kati ya Milner na Ox nan apewe 5 na nan apewe 7Yaani siku nikikuona unasema mbele yangu nakupiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuna imani na MilnerLiverpool are preparing a new contract extension for James Milner. #lfc [@SportsPeteO]
Pumbavu sana....
π π π Nimekupa HB Cody Gakpo mapema tu kabla hajapata mwingine ππSi tulishakubaliana Matip wangu yupo sana
Kwani mnataka kumfukuza? [emoji24]
Ntamuangalia nani sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mdogo wake VVD ananikosha sana yule mtoto.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekupa HB Cody Gakpo mapema tu kabla hajapata mwingine [emoji3][emoji3]
Matip kashakua mzigo inabidi atembee nafasi yake tupate kijana mdogo mdogo mwenye injury trend ya kawaida na mwenye kiu ya ushindi aisee... Matip na Gomez ni mizigo pale nyuma kwa sasa kapotea VVD nao wamepoteana.
YNWA