Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah[emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna mijitu ya kina Milner hata haiangalii maslahi mapana na timu

Bobby hata akibaki angalau ana kitu cha kutupa
 
Arsenal alitufunga OT na sio kwamba alimiliki mchezo ,akaongea shombo ,

View attachment 2538599
Kile Kipara atakikuna sana leo na maswali mengi bila majibu.

Uzuri wa EPL haina matokeo ya kujipa kichwa utaona Manchester City anatoa sare Nottingham Forest na Liverpool anachapwa na Leeds nyumbani yaaani EPL ni habari nyingine kabisaa.

YNWA
 
Klopp leo apewe tu 10 zote

Leo jamaa ametuprove wrong tuliokuwa tumekata Tamaa [emoji119]
Matumaini yamerudi. Sio kwa sababu ya game ya leo. Tangu tulipocheza na Real Madrid tulicheza vizuri. Sema Madrid walituzidi. Tutaenda Uefa tena. Nina uhakika kwa % nyingi Spurs, Newcastle hawawezi kumaliza ligi wakiwa juu yetu. Labda Brighton wanaweza kutusumbua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…