Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Shughuli ipo.

Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.

Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
 
Shughuli ipo.

Ila mpira wa united kwa sasa ni mkali sana
Na hayachoki yaani.

Timu yetu ikicheza kawaida kama tunavyofanya utani na akina Hendo,tutachapwa.
Tukijikaza sana labda tunaweza pata draw au tukashinda.
🤣🤣🤣🤣🤣Wewe na Henderson haha jamani huyu mzoee tu kwamba unae sana tu haedi kokote mpaka 2027 😔 😔 😔 😔...

Ni kweli kwa sasa ETG mbinu zake zinaeleweka na wachezaji wake na angalau wamekua na wakati mwema mwaka huu kwa msaada mkubwa sana wa Rashford na ukuta imara... Kazi yetu moja tu kuzima mipira isifike kwa Rashford ina maana tukimbie zaidi tukiwa hatuna mpira ili kuziba mianya yote endapo wachezaji wetu wataruhusu hawa jamaa watazidi kwenye ball recovery, ball retention, easy transition nk basi tujue mapema tu kwamba ETG atatoka kifua mbele..

Miss Liverpool nipe kikosi chako leo bila shaka Henderson naona hayumo😝😝😝

YNWA
 
Hendo ndani
Milner ndani.

Na tunasubiri tuwafunge UTD,nyie
Haya ngoja tuone.


Unajua Nunez anaweza perform kwa nguvu zake zote,akina Salah wakapambana weee
Ila huyu nyuma yapo ya kina Milner.
Hakuna mpira tutacheza hapo.
 
Usiwawazie saanaa hawa. We pigaaa tuu
 
Hendo ndani
Milner ndani.

Na tunasubiri tuwafunge UTD,nyie
Haya ngoja tuone.


Unajua Nunez anaweza perform kwa nguvu zake zote,akina Salah wakapambana weee
Ila huyu nyuma yapo ya kina Milner.
Hakuna mpira tutacheza hapo.
Milner ana uzoefu wa kuwafunga Manchester United eti 🤣🤣.. Khaa iwe Milner vs Rashford wewe unataka kumtoa maini Milner sio bure...

Henderson ni kiongozi mzuri na muhamasishaji mzuri sana uwanjani so they say wale wanaomtetea asa unajiuliza who needs that wakati tunataka stat proof za nini amefanya uwanjani yaaani bure kabisa.. Kapotea Fabinho nae Henderson kapoteana ina maana dogo anatembelea nyota za wengine huyu.. Klopp atampanga akidhani anaweza kutoa tena assist kama ile ya last season ambayo naona hua anaota kabisa maana hata yeye hakuamini kama ni assist mpaka anafunga Salah lile goli.

Endapo Klopp ataingia na MF Henderson Fabinho Keita basi mapema ETG ushindi ni wake kwa kua hawa viwango kama vipo sawa kwa sasa.

YNWA
 

The Real GOAT with superb left foot. Goal ratio yake inatisha. Dalili ilikua arejee Barcelona lakini naona akikwama hilo kwa kua klabu yenyewe ipo tete sana kipesa.

Ronaldo atakomaa kucheza mpaka asikie Messi anastaafu bila kuvuja baadhi ya rekodi zake...

YNWA
 
Hahahaaaa we muache anyatie nyatie tu yakimkuta shauli yake [emoji23][emoji23] sisi niwashabiki tu ila mwenye kibarua niyeye. Arthur melo sijui kacheza game ngapi tu [emoji1787][emoji1787]
 
View attachment 2537792
Kwa hio baada ya kushinda Carabao huyu anajiona ni Fergie mzee wa hair dryer aisee haya maneno yake ajitazame sana ana safari ndefu sana.

YNWA
Hiyo ni kuongeza tu confidence kwa wachezaji maana kwenye ligi kumfunga Liverpool akiwa nyumbani huwa ni ngumu sana.

Hata mimi shabiki tu mechi ya leo naiona ni ngumu japokuwa United tupo kwenye muendelezo wa matokeo mazuri na Liverpool ikisuasua ila North-West Derby pale Anfield ni mechi ya tofauti kabisa.

Tukiondoka na points 3 nitaamini kweli Liverpool imeisha.

Babu Milner weee!!! 😂
 
Luka SHOW
Zimwi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…