Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yeye mwenyewe yuko happy na kutowezeshwa
na anajiona Baba miujiza, na amewakumbatia magarasa
Aiseee huo ubora sijui mnauonaje kwake[emoji1787]

One of the best coach kwenye hii era ni Klopp.
And i trust him next season mambo yatakua hot sana.
Akisajili quality l DM RCM and LCM.

Nafikiri maji yamemfika shingoni na amedhamiria kufanya mabadiliko.

Na anataka business kufanywa haraka aingie kushindana na bei sokoni.

I trust Klopp kuturudisha kwenye ramani ya mpira, regardless of his blunders as i did to Nunez.

YNWA
 

Lets wait and see. Game of the season will be lfc vs united.
Better thing we are at Anfield. I don how klopp is preparing his team ahead this match.
 

Huyu Kone ni yupi?
 
Do you think we stand a chance in winning the North West Derby if the Gaffer deploys 4-2-3-1??
 
Barela ..very good
Vipi kuhusu Mo Kudus?
 
Subiri next season kikosi kitakapokuwa na walewale wa kina Milner na Hendo na Gomez.
Tutaelewana tu.
 
The only problem is Liverpool is a confused vehicle you'll never know which corner we are settling for this season. Been win win draw draw draw lose lose lose nk hivyo lets take one game a time...
Hio formation becomes more difficult if we can't win the second balls and make the field compact on ua side.. Leaving so many gaps with the form of our back line will be suicidal bro..
Whether we are playing the best or the last in Epl we are shaky sana kiasi even against Newcastle wakiwa pungufu our best player was Allison and that tells something man.

Diaz a big plus ni msumbufu sana atapoza sana presha ya kushambuliwa sana aisee

YNWA
 
Klop alichomzidi Benitez ni hype na hiyo Epl 1 after 8 yrs, lakini Ben alishinda UEFA na hivo vi micky mouse cup akiwa na hali mbaya ×2 ya klopp

Klopp is overrated
 
Do you think we stand a chance in winning the North West Derby if the Gaffer deploys 4-2-3-1??

In an ideal world, tungehitaji a compact 4231 ili kukabiliana/kwenda toe to toe na ETH's 4231, but again, the MF itatu-let down, United wana 2 powerful MFs now (Casemiro & Sabtizer), na Fred, then wana a top b2b player Bruno Fernandes, ETH ana room ya kum-partner Casemiro na either Sabtizer or Fred in a 2, hawa wote ni aggressive pressers.

To match, uwiano wao wa pressing, you need to set pressing traps, you set these pressing traps kwa kuwapa time kubwa ya kukaa na mpira, meaning unafanya mbinu yeyote ya kukwepa jukumu la kumiliki mpira in the middle, kuwapa nafasi Casemiro+Fred/Sabtizer kuwa na mpira, inakuwa rahisi zaidi kutengeneza room/void au channels za ku-press maana hawa wote siyo ball-playing MFs, so of-course ukiwaachia wakae na mpira unakuwa unawa-force kufanya on-ball mistakes, ambapo in the end inakupa urahisi wa ku-press, fullbacks ku-overlap & kutengeneza chances nyingi upfront, through counters..

BUT, tuna legs kwenye MFs? maana ku-force possessional mistakes, unatakiwa kuwa aggressive sana off the ball, achana na 1st phase, you need to be aggressive kwenye 2nd phase, na hatuna legs kwasasa, itakuwa ni rahisi sana kwa kina Casemiro ku-evade pressing traps kwa ku-stretch the pitch, you put Henderdon on a pivot tunakufa, you put Fabinho in a pivot, tunakufa.

We just need to overload their MF area, play 442, put Fab-Bajcetic/Keita, Jota at the tip of the diamond, his job itakuwa ni ku-press from deep, dont allow Casemiro room ya ku-stretch the pitch, dont allow Bruno/Shaw to create build-up phases, ukiua bulid-phases za Utd, unakuwa una-limit uwiano wa mipira kufika kwa Rashford and their whole attack.

but tuki-deploy 433, itakuwa game nyepesi kwa Utd, they will blow us away, 4231 cant help us as hatutakuwa na uwezo wa ku-sustain pressing traps/pressure.

442 can help us, kwasababu Jota, Firmino & Gakpo wote wako fit, unaweza kuwaweka hawa at the tip of the diamond (especially Jota or Firmino), na wakafanya kazi kwa ufasaha sana, even Elliot at RM in a 442 ni very good shout.
 
Klop alichomzidi Benitez ni hype na hiyo Epl 1 after 8 yrs, lakini Ben alishinda UEFA na hivo vi micky mouse cup akiwa na hali mbaya ×2 ya klopp

Klopp is overrated

RB, hajawahi kuwa better coach than Klopp, na haitakuja kutokea.

Coach ambaye ameshinda kila kombe alilo-compete for the last 5 years under sell to buy policy, hawezi kuwa Overrated.

Benitez alikuwa na hali mbaya ipi? alianza kugombana na kina Gillet, soon walivyo-introduce approach mpya ya kwenye transfer market (sell to buy)

Time ambayo Benitez alikuwa na ugumu zaidi ya Klopp, ni kushinda CL na depleted squad, but through out his tenure he had PRIME Gerrard, Torres, Alonso, Mascherano, Luis Garcia, Riise, Reina, Kuyt, Aurelio, Crouch, Benayoun, Baros, Cisse, Finnan,etc, these are WC talents, as soon as Gillet & Hicks walivyoanza kuuza our star players, ndiyo ukaanza ugomvi baina yao na Benitez (and i was on Benitez side),

How many talented stars, FSG wameuza kwenye tenure ya Klopp? mbona Klopp halalamiki?

Wakati mgumu aliopitia Benitez at LFC ni msimu wake wa mwisho baada ya kina Alonso kuuzwa, na. ndiyo hiki kipindi alianza kugombana na kina Gillet waziwazi, mpaka wakamfukuza, and majority ya LFC fans walikuwa upande wa kina Gillet, sisi tuliokuwa upande. wa Benitez, ndiyo now tunashangaa fans wanaotaka Klopp aondoke now bacause ya hii sleep-up, kitu gani kilitokea baada ya Benitez kuondoka? ilituchukua miaka mingapi mpaka kupata the right man? kwanini mnasahau kirahisi sana?

And, yes Benitez failed to win the league with PRIME Gerrard, SG prime years ilikuwa under Benitez, na alimpa Benitez FA Cup, CL and UEFA Super Cup kwa kipindi cha miaka mitano, Klopp hakupata pleasure ya kuwa na SG, his captain is Jordan fucking Henderson, Yeah Klopp won the 1 PL, ni absurd and laughable, but what about Benitez? failing to win the league with Reina, Hypia, Agger, Carragher, Mascherano, Alonso, SG, kuyt, Torres, Benayoun, Luis Garcia, Riise, Riera etc, should be LAUGHABLE too, but ukiwa real fan huwezi kucheka kwa vitu kama hivi, because its FOOTBALL, RAFAEL BENITEZ, is my LEGEND, but nae alikuwa na flaws zake, kama ilivyo kwa klopp, ni kawaida, these are human-beings.

Again, mimi ni mkosoaji mkubwa sana wa Klopp, SANA, sidhani kama kuna mtu humu anazidi posts zangu nilizokuwa namkosoa na ninazoendelea kumkosoa Klopp, but i will NEVER want him OUT, and na zaidi siwezi kumuita manager aliyenipa PL title baada ya miaka 30 ya kusubiri, Overrated. its disrespectul.
 
Hapo kwa Kieta hapana seems the boy no longer plays for the team rather than his payday man... Why nit play Jota there i remember kuna game he played akiwa almost MF na he didn't disappoint...

I agree we need to ditch 4 3 3 vs Manchester United ili kuwaweka brakes thier counter attacks whereas we push to create.. The only issue hapo ni how do we bypass Casmiro ohh man he rarely do put any wrong foot anywhere kwa sababu muda mwingi yupo kama jini aisee... He has made those around him to raise thier game kiasi now pale kati is no walk in th park kama zamani...

As usual any team nowadays wonna exploit upande wa kulia sababu upande ule wapo Salah Hendo na Trent na too bad Hendo and Salah rarely wanamsaidia dogo Trent n tired Fabinho no longer has the legs to cover Trent asiwe exposed.. Kwa gemu ya Manchester United i would like to see Bajectic playing upande wa Trent ili ku minimise the through balls kwa Rashford to break...
Kingine we all know Salah is chasing records za past legends hivyo there are times unaona kabisa hapa ni pa kutoa pasi kwa fulani afunge lakini yeye anakomaa tu hili swala bado lunatuumiza sana kwa sababu hizi chances haziji wakati wote kwetu hivyo any chance lost is big disappointment..

Sijui Klopp atatumia mbinu ipi kuwazuia Manchester United maana we have been there kuona how winning a trophy accelerate winning mentality kwa wachezaji kua na collective mind set ya winning and only winning... Klopp is a very busy man this whole week.. I wish him all the best aanze kesho kutuonyesha nini tutarajie wekedi.

Come on boys we aint gonna be ETH punching bag...

YNWA
 
Kikosi kina Hendo
Kuna Cha kutarajia hapo?😂
Subiri uone man u wanavyotupiga nje ndani.
 
Kikosi kina Hendo
Kuna Cha kutarajia hapo?😂
Subiri uone man u wanavyotupiga nje ndani.
Kwa hio miss Liverpool unasema Anfield Le Captain gemu ya Manchester United atulie kwa benchi...

Kwa sasa mwenzio nipo tayari kwa matokeo yoyote kwa hali tulionayo sina cha presha wala nini...

Mara Pap Klopp akaibuka na kikosi cha a kazi kazi
Allison
Trent Konate VVD Robertson
Bajectic Fabinho
Salah Gapko Jota
Nunez

YNWA
 
Hakuna timu Liverpool ya kuifunga man UTD Kwa sasa.
 
Mkuu, Keita amekuwa ni dissapointment, but we all know, and najua unaelewa kuwa Keita ana thrive akiwa ahead of the ball, hii imekuwa case ya Keita tangu amekuja LFC, Klopp played him at LCM against Crystal Palace, he always struggles there, ALWAYS.

Na, Klopp anampeleka Keita at LCM, because Henderson hawezi. kucheza eneo lolote lile zaidi ya RCM and 6, ile game ya Crystal palace, kama Klopp. angeanza na Bajcetic at LCM and Keita at RCM, tungekuwa fine, mbona kabla Thiago hajaumia, ile MF ya Keita-Baj-Thiago, mbona Keita alikuwa na decent performances?

This is our African brother mkuu, anapitia mambo magumu sana UK, jana umeona Athletic wametoa article kum-target jamaa, Henderson anapata free-pass again.

I know tumemchoka Keita, but he's our African brother, career yake imeharibiwa na injuries na Klopp's man management on him, wote tunajua how talented Keita alivyokuwa, its just unfortunate.

He's our African brother.

Against United, play 442, put Jota on Casemiro, we did this kwa a more composed & ball playing DM (Rodri) na tulifanikiwa.

We will lose kama tukicheza 433.
 

Tunakuwa hatuna consistency kwasababu Klopp anaogopa kui-ditch 433 now.

Kama akipata guts za kuachana nayo, we have big shot at top 4.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…