Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,584
- 235,438
Kabisa kaka , kama atakuja basi sio kwa pesa iyo .Hivu mkuu huyu Mount sio Jones aliechangamka. Sina imani na huyu dogo kutuletea mageuzi pale kati. Kingine bei yake huyu akiwa ni mjukuu wa malkia utasikia £60m sasa kwa kweli hana huo mpira.
YNWA
Kutesa kwa zamu... Hao Manchester United wamekua watazamaji kwa kuda mrefu sana tangu ang'atuke Fergie pale hawajawai kua na raha kabisa ni mateso mpaka anatua Kipara ETH ndio angalau sasa utulivu unaonekana japo hata Jose Mourinho alishinda kombe na kumaliza nafasi ya pili kama sikosei na wakaja poteana..Kweli maisha yanabadilika.
Mwaka jana Man u na wenzao wote walikuwa wanatuangalia tunavyofuana carabao na Chelsea
Ila sasa hivi tumekuwa wapenzi watazamaji.
Wameupiga mwingi sana Kwa kweliKutesa kwa zamu... Hao Manchester United wamekua watazamaji kwa kuda mrefu sana tangu ang'atuke Fergie pale hawajawai kua na raha kabisa ni mateso mpaka anatua Kipara ETH ndio angalau sasa utulivu unaonekana japo hata Jose Mourinho alishinda kombe na kumaliza nafasi ya pili kama sikosei na wakaja poteana..
Ni wakati wao wafurahi wamenuna sanaaa,wamepondwa sana, wamechekwa sana, wamevurugana sana, wamekata tamaa sana nk na sasa wanacheka.. Ni muda wao sasa
Numbisa hongera sana kwa kunipokonya kombe la ligi aka Carabao..
YNWA
Awesome🥰🥰🥰Kutesa kwa zamu... Hao Manchester United wamekua watazamaji kwa kuda mrefu sana tangu ang'atuke Fergie pale hawajawai kua na raha kabisa ni mateso mpaka anatua Kipara ETH ndio angalau sasa utulivu unaonekana japo hata Jose Mourinho alishinda kombe na kumaliza nafasi ya pili kama sikosei na wakaja poteana..
Ni wakati wao wafurahi wamenuna sanaaa,wamepondwa sana, wamechekwa sana, wamevurugana sana, wamekata tamaa sana nk na sasa wanacheka.. Ni muda wao sasa
Numbisa hongera sana kwa kunipokonya kombe la ligi aka Carabao..
YNWA
Wameupiga mwingi sana Kwa kweli
Na bahati ikawa upande wao
Na mashabiki wa man u ndo wanaoongoza kuvaa jezi mtaani.Shukrani sana Captain Marvelous. Kesho jezi miji itajaa jezi za Red devils[emoji23][emoji23][emoji23]
Awesome[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Na hapo ni CARABAO unazunguka threads zote kujivuna. Ungekuwa umewin CHAMPIONS LEAGUE au EPL si ungeenda kaa uchi Posta?Liverkuku najua mshalala, saa 12 tu bandani hata picha za kombe hamjaziona.
Picha za matukio. [emoji23]
View attachment 2531156
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna watu wanakuja kutukera sana kwenye uzi wetu nimeleta habari tu hapa.Na hapo ni CARABAO unazunguka threads zote kujivuna. Ungekuwa umewin CHAMPIONS LEAGUE au EPL si ungeenda kaa uchi Posta?
Definitely London is Red as in Manchester United Red....Shukrani sana Captain Marvelous. Kesho jezi miji itajaa jezi za Red devils😂😂😂
Awesome🥰🥰🥰
Bahati favors prepared mind always.. Waliingia uwanjani wakiamini ni washindi...Wameupiga mwingi sana Kwa kweli
Na bahati ikawa upande wao
Kwenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16]Dah lakini hii ndo Liverpool tuliyoizoea kama ile ya kina.
Fabio borin
Lick Lambert
Mario balotel
Sisi tumeng'ang'ania kumjaza sifa Klopp anayewapanga akina Milner na HendoBahati favors prepared mind always.. Waliingia uwanjani wakiamini ni washindi...
YNWA