Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Maisha bhana hua hakuna short cut ni kujituma tu...

Huyu dogo Modric alijiunga na Real Madrid mwaka 2012 akitokea Tottenham na msimu wake wa kwanza alipigiwa kura na mashabiki akiwa usajili wa hovyo sana msimu ule na wengi wakisema bora auzwe tu January 2013 ama June 2013 lakini dogo hakukatishwa tamaa na maneno ya mashabiki wala waadishi wa habari pale Marca.. Alipambana sana kuhakikisha anaweka rekodi sawa kwamba hakuja pale kubahatisha mbali anastahili kuwepo na hakika baada ya ule msimu hakua kurudi nyuma alijituma na ndio huyu sasa anatawala dimba kati bila hata kutoa jasho... Hakika dogo ni kipaji.

YNWA
 

Haya sasa maneno yameanza Klopp anatimka zake...

Kwenu mashabiki mnataka aje nani pale kama kweli FSG wanamtoa kafara Klopp... Tetesi inasema ni kocha wa Bayern wanamtazamia aje kum ridhi Klopp.
Je ni propaganda za FSG kupima upepo ama kweli Klopp anajiuzulu lol yetu macho tumo kusubiri.

YNWA
 
View attachment 2526174
Nilikuwepo zama hizi hawa hawa Madrid wakipigika bila majibu ma kuwatup hukooo ...

Kutesa kwa zamu... Tuwe na subira muda wetu ukifika nasi tuta enjoi tu.

YNWA
nakumbuka hii game,
1st leg pale madrid benayoun alitupia goli tukashinda 1-0,
return leg ndio fernando akafanya yake,
same week manure akala 4....


weird enough that season tulitoka mikono mitupu, droo na arsenal anfiled (asharvin 4), westham uptorn park, plus nyingine nimesahau zikatukosesha ubingwa wa epl......

that season niliumia sana,...... na kilichotokea msimu uliofuata (09-10) ndio hiki kinachotukuta sasa,.... benitéz akaishia kuondoka,
 
wasipompa 200+ he should save his face and walk away.....
what awaits lfc chini ya fsg ni majanga, they wont giv him 150 let alone 200+, ni mabahili yale.... never trust the yanks
 
Mimi najipaje presha kwa ujinga wa watu wachache wasiotaka kutumia hela kusajili.
Tufungwe tu hivihivi.
Timu zote za epl (kasoro city) kwenye first leg zimetia aibu matakataka wakubwa. Ngojeni wababe wa soka leo tuwaonyeshe mpira wa uefa unavyochezwa, Si unatujua vizuri ambavyo hatuna mbambamba.
 
Uwe unampa Saint Anne nondo kama hizi aelewe hii season ilishaisha sasa imejirudia tena kwa kasi kali sanaaa...

YNWA
 
wasipompa 200+ he should save his face and walk away.....
what awaits lfc chini ya fsg ni majanga, they wont giv him 150 let alone 200+, ni mabahili yale.... never trust the yanks
Yankees wanamuuza Salah eti £50m baada ya hapo usishangae Diaz, Jota au Nunez mmoja wao nae akawekwa sokoni...

Backroom supporting staff wa Kloop wengi wamesepa na baada ya Yankees walete wengine wenye uwezo ule wameishia kujitoa ufahamu na kuunganisha majukumu...
Research na Data unit ni vitengo muhimu sana Liverpool na kwa sasa zinapuuzwa hivyo Klopp sio tu uwajani anapoteana mbali na staff wanamkimbia kwa kasi..

Yankees labda wauze hisa kadhaa ije pesa kama £500m, ndio watampa Klopp kiasi anunue nyingine imalizie uwanja kutimiza capacity iwe 61,000 kuanzia msimu ujao.

YNWA
 
huyu mwamba ana Quality ya ki mancity kabisa , sijui kama next window watamuacha....liver tuendelee na wachezaji wakuunga unga tu.
Khvicha Kvaratskhelia ndio jina lake ana mguu wa kushoto wa kutisha sana.. Raisi wa Napoli kasema dogo hauzwa lakini anaweza kubadili msimamo ikija ofa ya kusisimua...

Kwa sasa pia amesema wanaomhitaji watulie kwanza kwa kua Napoli wapo bizy kupambana ubingwa wa Serie A na Champions League...

Wanaomtazama dogo ni Manchester City, Liverpool, Barcelona nk

YNWA
 

Klopp alitoa hii ahadi akiwa kalewa jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…