Eti wachukue ubingwa!!Arsenal wanapigika huko
🤣🤣🤣🤣🤣 amelala yooocomputerarsenal
Habari ndugu yangu [emoji23]
Wameset default mode[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] amelala yooo
Shinda kuu ya hii klabu inaanzia pale kati kati hawana msaada kwenda mbele wala hawana msaada kuzuia mashambulizi....Angekuwepo pengine hali isingekuwa mbaya sana kama ilivyo sasa.
huyo dogo anambip tajiri, tutamuendea kiangazi kwa dau la paundi milioni 110, tuvunje anather Brtish recordOllaChuga Oc na lembu poleni sana ndugu zangu naona Adeyemi jana kafanya jambo lake...
Naona laana ya Thomas bado inawatafuna kimya kimya.
YNWA
🔥🔥🔥🔥Huyu dogo ana balaa ni zao la RB Salzburg misimu miwili ijayo atakua anatisha.huyo dogo anambip tajiri, tutamuendea kiangazi kwa dau la paundi milioni 110, tuvunje anather Brtish record
Sijui nilimsahau vipi chalii yangu akiyanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]OllaChuga Oc na lembu poleni sana ndugu zangu naona Adeyemi jana kafanya jambo lake...
Naona laana ya Thomas bado inawatafuna kimya kimya.
YNWA
Mzee wa LiveScore 🤣 🤣 🤣 🤣Sijui nilimsahau vipi chalii yangu akiyanani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi £300m [emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]Mzee wa LiveScore [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ana hali mbaya sana chalii wako yaaani kununua kanunua lakini hana tofauti na kabla hajanunua.
YNWA
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ila nyie haya.Wapi £300m [emoji119][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Sisi tungewekeza hivyo tungekuwa hatukamatiki sasahivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila nyie haya.
All that glitters is not gold[emoji317][emoji317][emoji317]
Klopp na wazee wenzie pale Liverpool watakua wanasema aaa ona Chelsea na uwezekezaji ule na bado hawana uhakika wa ushindi popote.
YNWA
Nyie ela wanazotumia Chelsea ni ndotoni kuwa nazo aisee khaa FSG hua ubavu hawana kamwe.Sisi tungewekeza hivyo tungekuwa hatukamatiki sasahivi
Wakimuuza Diaz na Salah na Klopp yupo anatazama, ntaacha kushabikia mpira kwa muda,Nyie ela wanazotumia Chelsea ni ndotoni kuwa nazo aisee khaa FSG hua ubavu hawana kamwe.
Wewe subiri wauze Salah, Matip na Diaz ndio wapate pesa za kuwekeza upya kikosi.
Tuna balaa kubwa pale.
YNWA