Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aisee niko nimetulia na k vant yangu huku nasikiliza kwaya ,eeh baba niwapi TUMEKUKOSEA?
😂😂😂😂😂Hivi babu Asprin tangu tuanze vipigo ndio ametususa.

Hahaha angalau jana ushindi ulipatikana japo hao Everton wana hali tete kwa sasa lakini kwa sasa haijalishi zaidi ni kwamba ni kusaka pointi 3 muhimu kila mechi.

YNWA
 
Nilishaacha hadi kuangalia mechi
Hii timu hadi naogopa sasa
Kumbe wewe huna roho ngumu una ji lock out kukwepa maumivu.

Klopp angalau jana waadishi wa habari hawajamkaanga maana siku hizi ikifika tu media duties babu Klopp hua anakua mduchu kama pilitoni maana maswali ni ya uchokozi balaa.

YNWA
 
😂😂😂😂😂Hivi babu Asprin tangu tuanze vipigo ndio ametususa.

Hahaha angalau jana ushindi ulipatikana japo hao Everton wana hali tete kwa sasa lakini kwa sasa haijalishi zaidi ni kwamba ni kusaka pointi 3 muhimu kila mechi.

YNWA
Nimecheka kama zuzu...

Hakyamama hili chama limejua kunitesa safari hii

Laana ya Sadio Mane inatupasa tuogee maji ya baharini kwa sabuni ya magadi
 
Nimecheka kama zuzu...

Hakyamama hili chama limejua kunitesa safari hii

Laana ya Sadio Mane inatupasa tuogee maji ya baharini kwa sabuni ya magadi
😂😂😂😂😂Kutesa kwa zamu babu ni maumivu baada ya maumivu...
Ki ufupi huu msimu kwetu haupo kabisa sidhani hata huko Champions League kama tutaboa kabisa.

Hili la Mane kwa kweli ilikua mistake kubwa sana kumwachia kabla ya Klopp kujaribu mfumo mpya na kuona unavyofanya kazi. FSG waliona kwa mchezaji mwenye umri wa 30+ kupata usd 30m kwao ni faida kubwa sana kumbe ndio anguko letu msimu huu.

YNWA
 
Jana walau nimelala bila stress za kipigo 😂😂
Bajetic wamoto balaa 🔥🔥

YNWA
Hizi stress za hii timu yaaani ngoja tuone wekedi hii maana wachezaji wenyewe wanasema ndio wameanza kupindua msimu kimatokeo.

Bajectic amechungulia fursa ya kuji establish akaona MFs wetu wapo hoi sana akaona hii ni fursa na dogo hajarudi nyuma kabisa ni amezidi kujiimarisha kwamba awe na namba ya kudumu kikosini.

YNWA
 
Kwanini sijui liver hawaja muweka bajcetic kwenye kikosi dhidi ya madrid , Mimi naamini yule kamavinga sijui nani angekojoa damu.
Bajectic yupo kuivaa Real Madrid anaingia kwenye kikosi B kwa sababu anatokea academy ambapo amekuwepo zaidi ya miaka miwili
.. "Due to UEFA ruling, Bajcetic is now classed as an academy player for the Reds as he has been on the books for at least two years. In turn, this means the young Spaniard will occupy a place on List B" .

YNWA
 
Screenshot_20230215_185925.jpg

Mambo ndio

YNWA
 
Kutesa kwa zamu babu ni maumivu baada ya maumivu...
Ki ufupi huu msimu kwetu haupo kabisa sidhani hata huko Champions League kama tutaboa kabisa.

Hili la Mane kwa kweli ilikua mistake kubwa sana kumwachia kabla ya Klopp kujaribu mfumo mpya na kuona unavyofanya kazi. FSG waliona kwa mchezaji mwenye umri wa 30+ kupata usd 30m kwao ni faida kubwa sana kumbe ndio anguko letu msimu huu.

YNWA
Angalau sasa mmeanza kuadmit kuwa Mane kuondoka tuliingia cha kike
 
Angalau sasa mmeanza kuadmit kuwa Mane kuondoka tuliingia cha kike
😂😂😂😂Mane asepe tu umri umekwenda akipige mahela alipo kuing'ang'ania Liverpool angeishia kushindwa kuwahudumia kwao Senegal maana dogo anategemewa sana...

Mane peke yake asingeweza kututoa kwenye hili shimo... Hii ni collective work kila mchezaji afuate maelekezo ya mwalimu to the letter.

Tupo tupo na hali tete sioni hata nafasi ya 5 kama mambo yasipobadilika...

Angekuwepo pengine hali isingekuwa mbaya sana kama ilivyo sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom