Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,910
Hahaha hilo nalo neno FSG wanavuna walichopanda mtihani sisi mashabiki tumeipenda wenyewe.Hii output wanayotupa inaendana kabisa na mishahara yao finyu
Huwezi mlipa mtu kidogo kwa kujitafutia sifa za kubana matumizi,na muda huo huo unataka adeliver mambo makubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii slogan ndio imesababisha mashabiki kule wabweteke ,Liverpool will bounce back
Hamna haja yyt ya kutukana team
Tuwaache Liverpool feki watukane team
In Klopp,we believeView attachment 2504326
Waache ujingaLiverpool will bounce back
Hamna haja yyt ya kutukana team
Tuwaache Liverpool feki watukane team
In Klopp,we believeView attachment 2504326
Wachezaji wacheze tu hivihiviHahaha hilo nalo neno FSG wanavuna walichopanda mtihani sisi mashabiki tumeipenda wenyewe.
YNWA
Na je Matip wako maana nae kwa sasa hana tofaut na Keita ama Le Kapten 😂😂😂😂Wachezaji wacheze tu hivihivi
Ikiwezekana wapunguze tena kasi.
Hadi hao wamiliki akili ziwakae sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akwende[emoji16]Na je Matip wako maana nae kwa sasa hana tofaut na Keita ama Le Kapten [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
😂 😂 😂 Kweli umewachoka...Akwende[emoji16]
Simtaki tena
Haiwezekani wanatuchezea netball uwanjani[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maajabu yaliyopo utashangaa Milner na Hendo wakaendelea kubaki.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli umewachoka...
June 2023 mambo yasiwe mengi sana twende hivi...
Release list
Ox Chamberlain
Milner
Keita
Firmino
Sell
Henderson
Matip
Jones
Buy
1 Centre back right
1 Centre back left
1 central midfielder MF
1 Holding MF
1 Right winger
Send on loan
Fabio
Doak
Musialowski
Gordon
Melkamu
Loan Recall
Morton
YNWA
Klopp anazuga anajua vyema sana kwa sababu akisema anajua itakua swali kwa nini Liverpool tusitumie mbinu kama hizo..Kauli ya klopp imekaa kitaalamu sana, anashangaa inawezekanaje kutumia pesa zote hizo na still FFP wapoView attachment 2504871
Aache kulalamika, awaambie FSG waache sera zao za kuuza kwanza then ndio ununueKauli ya klopp imekaa kitaalamu sana, anashangaa inawezekanaje kutumia pesa zote hizo na still FFP wapoView attachment 2504871
Klopp bhana yaaani hua hutakaa usikie akisema le Kapten amepoteana wala Milner, VVD, Salah ila wengine kama kawa anarusha ujumbe leo kasema dogo Fabinho namba anachukua Bajcetic kwa sasa Fabinho kiwango kimeshuka sana hivyo kwa sasa hama uhakika wa namba.. Sasa unajiuliza kwenye hii timu aliepoteana ni Fabinho peke yake ama ni wengi tu.. Ni kweli Fabinho sio yule wa misimu kadhaa iliyopita lakini dogo kwa kua ni kilaka hajawai kua na mbadala wake pake kikosini kama alivyo sasa Bajectic hivyo yeye kuchuja ilikua ni suala la muda tu.. Cha kushangaza ni pale Le Kapten tangu 2015 amepoteana kila msimu lazima asababishe kumfungwo goli angalau 2 kwa msimu na Klopp wala hasemi anauchuna wakati huku tunaona laivu bila chenga season after season anavyoharibu na hasemwi ila Fabinho th great amepoteana msimu huu na maneno juu yanamtoka mwalimu lol kazi kweli kweli.
Klopp ana wivuKlopp anazuga anajua vyema sana kwa sababu akisema anajua itakua swali kwa nini Liverpool tusitumie mbinu kama hizo..
Iko hivi mchezaj anauzwa £88m anapewa mkataba wa miaka 8.5 namna ya kua salama FFP inakua hivi ni bei ya mchezaji husika kwa mfano Mykhailo Mudryk bei £88m ➗ 8.5 years = 10.4m kwa mwaka ambayo malipo yatalipwa kwa kila miaka £10.4m kwa miaka na nane na nusu. Sasa hapo kipi Klopp haelewi.
YNWA