Naona itakua mbaya kuliko 15/16.Imerudi ile Liverpool ya 15/16
Ebu zama Google search yaliyojiri mpaka Gillert na Hicks kuuza klabu 2010 utaelewa hawa mashabiki lakini pia FSG huonekana kama ni sent angels maana waliokoa klabu kuingia kwenye administration hivyo kumbe sio vile ni kwamba wenyewe waliona fursa ya biashara wakawekeza hawakukosea kwa sababu sasa inawalipa vizur sanaaaa.tatizo la liverpool sio la wamiliki au klop, ila ni tatizo la mashabiki,
mashabiki wa liver pale england ni wabaguzi sana, michezaji ya kiingereza ikiharibu wala hawaishutumu, subiri aharibu mchezaji asie mwingereza!
lkn pia ni washabiki wasio na ambition kabisa, hutawasikia wakizomea wamiliki, wachezaji au kocha,...... inatakiwa siku moja klop azomewe mwanzo mwisho, kina henderson wazomewe kila wakikanyaga uwanjani, wamiliki na bodi wazomewe....alafu wamalizie kwa kugoma kwenda uwanjani, uone kama wiki mbili zitapita bila mabadiliko,
ila kwakua tuna mashabiki wa aina hii acha waendelee kubondwa, na mwakani tukose hata europa, twende conference huko ili watie adabu pumbafu kabisa
Mkuu hii timu isipokuletea ugonjwa wa Moyo utakuwa na bahati sana kwa kifupi itakumalizaaaaaaaa.Ebu zama Google search yaliyojiri mpaka Gillert na Hicks kuuza klabu 2010 utaelewa hawa mashabiki lakini pia FSG huonekana kama ni sent angels maana waliokoa klabu kuingia kwenye administration hivyo kumbe sio vile ni kwamba wenyewe waliona fursa ya biashara wakawekeza hawakukosea kwa sababu sasa inawalipa vizur sanaaaa.
Hii hali ikiedelea hivi msimu ujao mambo yatabadilika sana ndugu.
Mashabiki wa Tottenham nadhani mechi ya Manchester City walipasa sauti Daniel Levy aachie kazi huku wakisimama na Conte..
Liverpool mashabiki ni wavumilivu sana lakini hata huo uvumilivu una mwisho...
Kingine ukumbuke ma supremo wetu Gordon, Jonh na Werner hua nadra sana kuhudhuria mechi pale Anfield pengine mpaka sasa wangeshaanza kuzomewa.
Wamiliki wapya na wachezaji warejee kwenye kiwango ndio pona yetu.
YNWA
I don’t think soMkuu hii timu isipokuletea ugonjwa wa Moyo utakuwa na bahati sana kwa kifupi itakumalizaaaaaaaa.
😂😂😂😂😂😂Mie na Baba Swalehe love this team haha... Kufa wala kuumwo hakuna ila cha moto tunakiona...Mkuu hii timu isipokuletea ugonjwa wa Moyo utakuwa na bahati sana kwa kifupi itakumalizaaaaaaaa.
Liverpool will be strong again😂😂😂😂😂😂Mie na Baba Swalehe love this team haha... Kufa wala kuumwo hakuna ila cha moto tunakiona...
We have been through worse bro this is just peanut...
Am much cool najua ni upepo tu.
YNWA
Top four Bado ipo| Ibrahima Konate is out for a fortnight through a hamstring injury against Brighton. [@DominicKing_DM]
Nauona msimu wa 2020/2021 ukijirudia but this time around there will be no Miracle.
Philips naona akianza kupata nafasi ya kucheza
YNWA
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]We are going to win the uefa champions....
I have a dream