Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”Unalala na viatu.. Patience pays 😜

YNWA
 
Matajiri sasa wanapandishiwa bei ya wachezaji
Brighton & Hove Albion have placed a valuation of Β£100m on MoisΓ©s Caicedo after Chelsea's latest attempt to raid the south-coast club. Sky.

YNWA
 
Hakuna cha Patience pays wala nini [emoji1787].
Ngojangoja huumiza matumbo

Hadi naota kitambi sasa kwa maumivu ya tumbo ninayoyapata kwa kusubiri.
Mwishowe mbivu zioze lol![emoji1787]
 
Hakuna cha Patience pays wala nini [emoji1787].
Ngojangoja huumiza matumbo

Hadi naota kitambi sasa kwa maumivu ya tumbo ninayoyapata kwa kusubiri.
Mwishowe mbivu zioze lol![emoji1787]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

YNWA
 
Kwa caicedo tuwape Hendo ,tuwape keita, ikiwezekana tuwape na milner, tuongeze na pesa kidogo...then ox tuendelee kuwafikiria kuwapa hapo baadaye
 
Kwa caicedo tuwape Hendo ,tuwape keita, ikiwezekana tuwape na milner, tuongeze na pesa kidogo...then ox tuendelee kuwafikiria kuwapa hapo baadaye
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Milner Henderson Ox Kieta =Caiceido πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘nasema YES dili lifanyike...

Ishu hapa wote hao wanakula zaidi ya Β£130,000 kwa wiki na kwa bajeti ya Brighton na pia mipango yao hua wana sajili young with potential mix with old guards kama ulivyoona usajili wa Lallana na Welback ni usajili wa kimkakati.

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…