Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ebwana au tuwakodishe wale mashabiki wa Ethad Army yaani at half time walikua full kununa yaaani hawaelewi inakua aje gemu ya pili wanachezea kichapo aafu ile sasa ni Ethad na Conte hanaga utani pale Hahaha... Wish ile half time talk was recoded yaaani Pep was roaring maana uzuri wa Pep hanaga brake yeye hua anakuja mazimaaa anawaponda wala hanaga kesho ni pale pale...Man City fans wants to win trophies.
Scousers huwa wanatoa standing ovations kwa kina Henderson.
Ndiyo maana hata FSG wame-relax.
Thats the difference between us and Man City.
El Nino na El Nino kweli i remember the Yankees took a loan to buy the boy then they couldn't pay back the loan and its full crisis... yaaani hatunaga bahati ya wamiliki kama Chelsea πππ"New" fans, wangeshuhudia ile pre season ya Fernando alivyo-join LFC, angekejeliwa sana kwenye hii platform.
Ila Steve bhana how earth did he believe in Chambers na Coutinho watakua salama...He went to Aston Villa mapema sana, the job was too big for him.
angebaki Rangers tu, kwenye kufundisha team ya taifa at that a age, ni setback kubwa sana.
π’π’πFabinho will never back to his usual form.
Klopp ran him to the ground.
atakaa sawa, but he wont be "Dyson" anymore.
he's 29.
Hasira zangu hazipo kwa gakpo you took me badMachungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?
So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?
and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?
Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.
hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.
But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
Hizi ni nyakati ngumu kwa team tukubaliane kutokukubalianaMachungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?
So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?
and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?
Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.
hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.
But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
Real Madrid are strong admirers wa Fabinho though at 29 am not sure they are still interested... Umesema powa though i don't advocate for full blown clear out ya wachezaji ingekua powa we do away with dead woods kuanzia Matip, Gomez, Milner, Henderson, Jones, Chamberlain, Kieta, Henderson na Phillips hao kwa kweli they need to go tuanze kuwa na bench lenye kiu ya makombe... Robertson abakie kwa kua Tsimikas hana speed ya EPL especially vs quick team with quick transition he goes awol...Henderson ni artist wa ku-get away with murder, ni mchezaji ambaye hapendi kuwa dropped kabisa, proper reds huwa wanasema ni winner kwasababu ya kutopenda kuwa dropped, but wachezaji wengine wakilalamika kuwa dropped, wanakuwa abused.
hata ile game ya Newcastle, tuliyo-draw 1-1, Henderson got subbed off, akawa anatoka kama mfalme, when we were chasing a second goal, but Klopp yupo so blind na jamaa, na one of his favs, wachezaji wengine wakifanya kama vile, wanakuwa dropped haraka sana.
Personally, ukimtoa Keita, Klopp hakuwahi kuwa-treat vizuri kina Shaqiri, Takumi, Ben Davis, Sturridge, Grujic even Origi.
The way alivyomuondoa Sakho at LFC bado mpaka sasa inanipa ukakasi mkubwa sana.
Klopp favs at LFC ni Henderson, Milner, Alisson, VVD, Matip, Robertson & Firmino, and honestly i fear for VVD, Matip & Robertson because wanaweza kuwa our new Hendo & Milner, Matip sidhani kama anastahili new deal now, and i can see Klopp akimpa deal mpya VVD ambaye uwezo wake umepungua kutokana na ile injury, kwasasa kulitakiwa kuwe na plans za kuanza kuwa-phase out VVD & Matip kabla haijawa too late.
Then i'd cash on Robertson now wakati bado you on demand, i like Andy, but game yake ni kama ya Henderson, anategemea zaidi physical side of his game, sasa hiyo stance ikiisha, ndiyo inakuwa kama Henderson, anakuwa mzigo kwenye flanks, na sababu kubwa ya kuisha ni kwasababu anakuwa over-played, tuna kostas, but huwa anapata nafasi mpaka robertson aumie, ambapo siyo sawa.
Think, i'd move on Fabinho too, kama hatataka ku-take role ya kuwa second fiddle kwa young core inayokuja.
Simply hujanielewa sijasema gakpo sio mzuri my idea was simple Kila mchezaji YouTube ni mzuri and I was simply talking in a funny wayMachungu unayatolea kwa mchezaji ambaye hana hata games zaidi ya 4?
So shida zote za LFC msimu huu, unakuja kuzitolea kwa Gakpo?
and kama ni fan mkongwe na umepitia nyakati ngumu za LFC before, unakuwaje. triggered kirahisi hivyo na bad patch ya sasa?
Team ina Klopp kama head coach, World Class Keeper, World Class CBs, World Class CM & a DM, World Class Fullbacks, World Class attackers etc, utafananisha na kipindi gani kingine kibovu? tunajua fika kuwa uzembe ulifanyika summer wa ku-tosign MFs na tunalipa kwa huo uzembe kwasasa, ilishatokea na huwezi kurekebisha, move on, fight na ulichonacho.
hizi huwezi kuziita nyakati ngumu hata kidogo, we won 2 trophies last season, tulibakiza two games, ku-complete a quad, hii ni sleep-up, na it was coming from miles away, kutokana na aina ya owners tulionayo, hata Man City performances zao zimeshuka sana msimu huu, but advantage waliyonayo ni ukubwa wa kikosi, sisi tunaumia zaidi kwasababu hatuna depth na injuries kwa Diaz & Jota.
But, sleep-up was bound to happen, na haikupi sababu ya ku-toa hasira zako kwa Gakpo.
Underrated flop uyo
Anfild najiokotea alama zangu tatu kama namsukuma mlevi tuMechi za mtego za Arsenal
Vs Liverpool , Anfield
Vs Man City, home $away
Vs Newcastle
12 pts hizo, wakichomoka hapo basi ni mabingwa
Kwa mnavyocheza naona malengo yenu ni top 10 tu.Game mbovu. Mpira haueleweki. Tuna safari ndefu sana.
Sio kirahisi hivyoAnfild najiokotea alama zangu tatu kama namsukuma mlevi tu
NB: picha haihusiani na maelezo hapo juuView attachment 2490037
Jokes zako zina ukweli mwingi ndani yake!I was joking so far you took this so seriously ππππ
I believe in gakpo as how i believe in nunez kwamba ata copy with how i still believe with fabinho kurudi form na wengine wengi
I still believe our Liverpool team will be back stronger than ever
Sio mliona Manchester united tunachelewesha deal mkatupiga kikumbo[emoji16]Nunez Ile ni mashine itakaa Sawa, Ila gakpo ni garasa kabisa pale tumepigwa, madhara ya clip za YouTube yatadhiirika tu muda c mrefu.