Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2481312

This man he promised this seao2 will be our happy season yaaani na tu book na mahoteli kwenda finals.. Haha bado tu book jamani ama in playstation mode.

YNWA
Mi ninacho mkubali Klopp hua hana hasira wala chuki na wachezaji wa timu pinzani hata akifungwa, leo kiroho safi kabisa baada ya mpira kuisha kaenda kuwakumbatia wachezaji wa Brighton akiwapongeza huku akiachia lile tabasamu lake mwanana kabisaaaaaa.
Hakika JΓΌrgen Klopp ni mtu na nusu kwa kweli.

Mitano tena kwa Klopp ake.
 

We will recover...

Ni lini ni ngumu kujua...

Hawa wachezaji sio ma robot wamechoka.

YNWA
 
Ongeza sauti mkuu
 
Klopp is just an arrogant person
 
Players are playing alhamdulilah football
 
Klop out tumechoka visingizio vyake yeye midfield anakwambia hakuna tatizo mpaka apate mchezaji mzuri sokoni waliokuwepo wanatosha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani matakataka yanakimbizwa kila kitu 🀣🀣🀣🀣🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…