choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,089
Szitaki mbichi hiziJukumu letu lilikuwa kuwafungashia virago livapunda tukamaliza...hilo kopo tumewaachia matakataka manyumbu.
sisi tunaenda kupiga trebo ya UEFA EPL na FA..
Achana na sisi buana tuna mahesabu makali sana.
Fungu la kukosa😂Szitaki mbichi hizi
Sasa nani Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja kupunguza hasira humu hivi pale Uingereza kuna timu ambayo imefanya usajili horera msimu huu kama Chelsea?
Nunes is a starSasa nani Chelsea [emoji23][emoji23][emoji23]
Nunez mmepigwa ilo halina mjadala, uyo Lukaku mweupe
KitukoMsimamo wa ligi mpaka kufikia May
1: Manchester United
2: Manchester city
3: Newcastle United
4: Arsenal
Captain Marvelous come and take your fatherHuyu ndio klopp [emoji23][emoji23] aseme tu FSG hawana hela [emoji1787]View attachment 2479740
BoyaKituko
No Lukaku, no Werner, No Tommy lakini matokeo yao ni ma mbaya zaidi hawa jamaa.Naona chelsea wameamkia walipolalia
😂😂😂😂Huyu mzee hua ana majibu ya kukera sana... MF hii ilisemwa sana baada ya fainali kule Ufaransa na mpaka sasa inasemwa sana mapungufu yao lakini Klopp kama kawaida yake sikutegmea aje na majibu tofauti na haya.
Chukua babu yako bwana, sisi tutamuumiza huyu Mzee.😂😂😂😂Huyu mzee hua ana majibu ya kukera sana... MF hii ilisemwa sana baada ya fainali kule Ufaransa na mpaka sasa inasemwa sana mapungufu yao lakini Klopp kama kawaida yake sikutegmea aje na majibu tofauti na haya.
Tujiadae kupigika tu hakuna namna
YNWA
Atakua kama kapiga Bavaria huyu, hivi ina kilevi ama.Chukua babu yako bwana, sisi tutamuumiza huyu Mzee.
Hivi huwa anavuta bangi?
Inabidi tununue tuonje,tuone taste yakeAtakua kama kapiga Bavaria huyu, hivi ina kilevi ama.
YNWA
Arthur melo ni muhim? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachezaji muhimu karibia wote wapo wodini [emoji58]View attachment 2479880
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Huyu Melo ni mchezaji wa Liverpool? Alisajiliwa hili dirisha na akapata majeruhi au mimi ndo sijaelewa? Alishacheza?Arthur melo ni muhim? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]