Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2465826

Chelsea hapa mlipigwa ama tazama EPL rekodi ya Kai vs Erling .
Huyu Kai alinunuliwa ghali sana around 70m hivi na analipwa vzuri tu around 300k kwa wiki.

Mkuu lembu hii imekaa aje.


YNWA
Hiyo 300K labda unamlipa wewe, mfumo wetu mzima ndio tunaufanyia kazi ili wafungaji waweze kufunga japo sio lazima Havertz afunge kama Haaaland, Erling ni natural striker ambaye akihudumiwa vizuri kazi yake ni kufunga magoli. Kai Havertz ni Attacking Mildfilder ambaye kazi yake ni kuwapikia wengine. Mlinganishe Kai na Gungugan au KDB
 
Heri ya mwaka mpya ndugu.

YNWA
 

They have to sell it and this is the right time. Waking’ang’ania after few years hawataamini bei watakazoletewa endapo watataka kuuza.
 
Hata tusipo chukua ubingwa nacho omba tupambanie big 4 ila Arsenal akichukua ubingwa nitakuwa na furaha japo sio shabiki wa Arsenal.
Jinsi unaichulia arsenal, huwa naiona Liverpool km chama langu dogo pale Uingereza, toka kwa Steven Gerrard. Akichukuaga kombe liver moyo una tabasamu kuliko chelsea na man U(ndio kabisaaa)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…