Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leicester City leo tuna jambo letu,
Dewsbury-Hall, Maddison, Tielemans, Jamie Richard Vardy, Wilfred Ndidi na Mzambia Patson Daka ndio wanamalizia kutafuna kiroba cha mwisho cha karanga mbichi huku wakiisubiria liverpussy kwa hamu.
 
Tumeshamkosa Aisee.

All the ground work iliyofanywa na Ward, ime-amount to nothing.

Tumsubirie Jude & tusubirie kuona kama tutapata a good MF this January.
Release Clause ya Jude inaongelewa design kama ya Haaland na kama ni kweli nae hatumpati kwa sababu Manchester United, Chelsea na Real Madrid wanaomsaka wote wanaweza kulipa mshahara na bonus kubwa zaidi ya sisi...

Hii ishu ya Ward kuachia ngazi June 2023 inafikirika yaaani kuanzia kuwa convince wamchukue Enzo enzi yupo Argentina na FSG wakampa za uso na akaedelea kumfanyoa profiling mpaka akiwa Benfica na baadae ya kua na Kombe la Dunia powa huyu bei sasa nje ya uwezo wetu kwa kua naona eti release clause ni over 100m na kwa vile kuna uhaba wa all round MF kama dogo Benfica watapata ela nzuri tu.

Ngoja tusubiri watasajili nani Klopp kashasema ana uhakika wa wachezaji kununuliwa dirisha hili muda utasema ni nani.

YNWA
 
We go again 🤌🏾🤌🏾
 

Attachments

  • 3E9B0D9F-BEB1-40E6-93AF-D6ABEDE89E52.jpeg
    133.6 KB · Views: 19

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…