Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mnaipenda MU FC kutwa kuijadili awesome
VVD niliona anawaelekeza uwanjani wenzie,VVD kama tu baba mwenye nyumbaπŸ₯°

Angetua kwa wale nyumbu mbona angekiona Cha moto mtoto mdogo kwenda kuua kipaji unyumbuni.

🀣🀣🀣🀣🀣Nyumbu ni kijiwe cha kupiga ela pale tazama Pogba, Ronaldo, Sancho, Antony, Martial nk nk

YNWA
 
Man,,, jibu hoja !

Anthony sio CF ,,, ! Unamlinganishaje na Darwin ambaye Ni typical CF !? Anthoy anaweza asifunge ama asiasist lakn mchango wake pale mbele ukaonekana !
 
Aisee kwa hio huyu Salah na magoli yake ni ya kubahatisha ama huyu Antony sio ARW...

Kukosa kwa magoli kwa Nunez kumekua gumzo sana kwa kua bei yake inasisimka lakini je huyo Antony ana assist ngapi kama unaona sio wa kulinganishwa na Nunez...

Ishu kuu ni bei sio kingine wala namba ya mchezaji.

YNWA
 
Limendy limechomesha timu mapema ikatokam
Angalau angeweza hata Manula angedaka vizuri kuliko lile jamaa lina pazia mikononi.
Huyu Chugga alijidai sana kwamba kapeleka wachezaji kibao Kombe la Dunia mwishowe huyooo anajificha eti VVD yaaani anasahau na huyo Mendy, Kai na wengine πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Hio hio lile chama kubwa,tunapita kwenye mawimbi makali sana ipo siku hali itatulia
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Manchester United hii hii ama nyingine πŸ€”πŸ€”πŸ€” hapana ila ninavyo kupiga 'bao " kupata mchezaji kama Firmino, Thiago, Nunez, Cody all its feels super great.

YNWA
 
Huyu Chugga alijidai sana kwamba kapeleka wachezaji kibao Kombe la Dunia mwishowe huyooo anajificha eti VVD yaaani anasahau na huyo Mendy, Kai na wengine πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
Limendy lilikuwa takataka nambari Moja.

Bobby nasubiri sapraiz yangu ujue
 
Kwamba na nyie timu yenu ilivyo mbovu mnapata wapi nguvu za kuongea haya😁
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…