Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Watoe hela , waache kutafuta huruma

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kwa Nunez mulisema hivi hivi, hapa tumepigwa mazee 😭😭😭😭
Kama Werner na babu kibegi aka Lukaku hahaha hivi ile pesa £/💶/usd 97m mtaweza kweli kupata hata nusu yake mkimuuza Lukaku Inter. Sasa tazama dogo Nunez ndio kwanza ana 23 ana muda wa kutosha wa kujiweka sawa na kuanzia kufumania nyavu.

Huyu Cody uwe na utulivu tuna gemu 2 na wewe Epl majibu utayaona siku hio.

Nafasi ya Uefa ndogo inakuhusu.

YNWA
 
Hii habari haijapewa uzito sana lakini msubiri hizi assit akija kuzipiku Trent utaona wachambuzi majuu wakavyotoa makala kama zote.

Hongera sana kwake Robertson kwa kua beki namba 1 wa kwa kutoa assist EPL.

Anastahili kwa kujituma kwake ndio maana amefikia rekodi hii.




YNWA
 
Yule dogo huwa wanampamba kwa mapambo yote

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…