Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,470
- 32,917
Mnajaribu kumpamba na kumtetea ila huyu dogo hata mikimbio yake tuu bora Embolo,Tangu kuumia kwa Diaz huyu dogo Nunez ametumika LW na kimsingi anajitajidi sana kwanza alikotoka alikua focal point Benfica pale mbele sasa akatua na kujikuta kuna mfumo tofauti na kule wakati anaanza ku settle CF majeruhi kwa Jota na Diaz na hatimae kujikuta sasa ni LW akicheza kwa bidii haswa sana kashatengeza nafasi kadhaa kwa Salah na wengine..
Boy has 23yrs whom am i to say he ain't be a hit EPL wakati bidii naziona haswa. He is his biggest critic. He ain't satisfied with his performance at all, his facial expressions tells its all.
Kwa kweli msimu huu loss of form na majeruhi yametudhiri parefu sanaa.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool ndyo tumeanza ligi sasa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Kafanyaje tena uyu kijana wetu?Dah ila Nunez[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2459231
Kitu apo suala la muda tu, Gakpo siyo complete player anahitaji coaching ya maana ili awe bora,Hamna kitu apoHabari njema hiziView attachment 2459326
unatakaje sasa we kilaza.Hamna
Kitu apo suala la muda tu, Gakpo siyo complete player anahitaji coaching ya maana ili awe bora,Hamna kitu apo
Jibu kwa facts unamjua Gakpo au unapanua tu kijamb10unatakaje sasa we kilaza.
Even Salah mlisema sio complete player so hatuwashangaiHamna
Kitu apo suala la muda tu, Gakpo siyo complete player anahitaji coaching ya maana ili awe bora,Hamna kitu apo
Mzee mbona Kama umeumia, chupi mbichi nini[emoji3].Hamna
Kitu apo suala la muda tu, Gakpo siyo complete player anahitaji coaching ya maana ili awe bora,Hamna kitu apo
Tulisema Nunez, kiufup huo gakpo hawez kuanza pale Liverpool,niambiwe mumeongeza squad depth kwa Sababu ya injury za wachezaji wenu ila hana uwezo wa kumweka bench Diaz, firmino,Salah,Jota,carvalhoEven Salah mlisema sio complete player so hatuwashangai
Mtamuona hizo meseji zangu zihifadhiniMzee mbona Kama umeumia, chupi mbichi nini[emoji3].
Em taja wachezaji wa 3 ambao ni complete kwenye team yako! Tuanzie hapo[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangapi unawajua wamefeli? Sasa kwanini nyie mlkuwa mnamtaka? [emoji16]Mtamuona hizo meseji zangu zihifadhini