Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu tuachane nae mamaee
 
Kusema ukweli leo aliye tutoa ni Nunez
Anakosa bao za wazi mno
Klopp yupo lkn atambadiri
 
Vibwengo livamapengo fc ni mwendo wa kupakatwa tu mlikua mnachekelea likizo ya world cup hehehe

Nyambaaf
 
Kusema ukweli leo aliye tutoa ni Nunez
Anakosa bao za wazi mno
Klopp yupo lkn atambadiri
Mbona niliwaambia humu awali hamna mchezaji pale , na ashukuru Liverpool wanatengeneza chance after chance

Ni mchezaji aliyefanya vzr msimu mmoja tu,hivo Ni one season wonder ndiyo iliyomleta Liverpool kwa €100m
 
Mbona niliwaambia humu awali hamna mchezaji pale , na ashukuru Liverpool wanatengeneza chance after chance

Ni mchezaji aliyefanya vzr msimu mmoja tu,hivo Ni one season wonder ndiyo iliyomleta Liverpool kwa €100m
Kwa kweli huyu dogo ni mchezaji wa Kawaida mno.
Nilikuwa namuangalia pia kwenye WC,yaani hana maajabu yoyote.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hapa nilipo kuna shabiki la livapunga limeshapungua kilo 2 baada ya kunenepeana kipindi cha wedi kapu........

Ni mwendo wa kupakatwa mpaka mbaki vi skeleton ..

Dariwini nunyes kamatia hapohapo
 
Mtajuta kujichanganya.
Klopp anakwenda kuwasokomeza as always

We jitoe tu ufahamu wakati mama cita wenzio washaanza kuomboleza huko.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti nmesikia Man City jana mmempea ile style ya mbuzi kagoma, akawasokomeza bao 3 hivi ni kweli au mashabiki tu wa Arsenyani wanawasingizia?
Na Darwin Nunez eti nae kapiga Hatrick, lakini goli zote 3 kafunga nje ya goli, kuna ukweli wowote au hizo ni chuki tu za Manyumbu Fc dhidi ya Liverpussy mpaka wameamua kuwazushia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] End of an error.
 
Siku sio nyingi utanyoosha mikono juu, Monday away at Villa park labda atafunga.
Kuna mastriker madaraja matatu na wote wanafunga

Daraja la kwanza
Mbappe
Benzema
Lewandowsk
Halaand
Harry kane

Daraja la pili
Giroud
Firmino
Alvares
Gabriel jesus
Diogo jota
Morata

Daraja la tatu
Timo wener
Lukaku
Nunez
Antonio
Aubameyang
Choupo moting

Wote hao wanauwezo wa kufunga ila sasa[emoji3][emoji3]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…