Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Execute kajipinga Jf juzi sisi wakongwe kidogo tunajua tabia ya uzi wa Arsenal toka zamani wo wanaongoza kwa matusi na lugha za hovyo..
 
Luis Diaz has suffered an injury setback and has left the #LFC training camp in Dubai. He hasn't featured for the Reds since suffering a knee problem in the 3-2 Premier League defeat at Arsenal on October 9 [emoji837]

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Utajinyonga mwaka huu kuona Golikipa Allison anaisaidia timu yake kutwaa kombe.

Ngoja akina Magwaya wakate mauno kusindikiza wenzao[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama la mama Allison jana kadaka penalties ngapi?

Ngoja nikutafutie picha za VVD jana akiwa anamkaba Messi.
 
Huyu Execute kajipinga Jf juzi sisi wakongwe kidogo tunajua tabia ya uzi wa Arsenal toka zamani wo wanaongoza kwa matusi na lugha za hovyo..
Tabia nimeziona kwenye haya majukwaa na hata siku moja sijaona watu wa arsenal wakitukanana.
 
Hivi tokea Henderson na England yake watolewe World Cup nyie Liverpussy mna mchezaji yoyote kweli aliebakia Qatar?
 
Jizime tu data huku sisi tunakwenda kunyanyua kwanza na Konate wetu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna Mkoloni wala Upinde yoyote atakaebeba hilo kombe.
Kumbe misuli ya shingo inakukaza kushabikia upinde kwa sababu tu ya Konate?
Kesho andaa box la panadol kabisa ukiwa unawaangalia hao wazee wa [emoji304]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…