Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Napoli bwana msimu huu wanataka kwenda mbali sana ligi ya nyumbani na Uefa...Napoli wametufanyia uhuni sana kwenye group stage, unexpected things. Tuwapige Anfield tuweke heshima
Bhana hivi hata sijatazama kweli ma starters ni akina nani timu za Taifa..Kops Tunywe maji mengi . Advantage tulio nayo kwa sasa wachezaji wetu wengi sio regular starter kwenye vikosi vya mataifa yao though hii sio advantage kubwa sana.
YNWA.
Jembe kama jembe.Suala la muda watanyamaza kumhusuβ¦
15+ goals msimu huu atafika
ππππππNoma sana ngoja tuone kesho kwa Leeds watacheza mziki upi...Wachezaji wetu wasipojitoa ufahamu huwa wanaupiga mwingi
Boy has class. Too bad he is trying very much above his head but with th minutes he is getting there is a big hope he might be passing Jones in the pecking order of MF list...Team ikipata rythm he is good unlike Jones
Gono fc
Super gonorrhea football clubLimekutandika mara mbili
Vijana wa Leeds United muda huu wanakula karanga wabichi, mihogo wabichi na nazi wabichi wakishushia na supu ya pweza, ikifika saa kumi kamili wanapaka kabisa vumbi la Congo wakisubiria muda ufike.Nyie livernyoko mtapigwa mpka mtachakaa Leeds United na Nottingham forest ni majirani [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mkipata hata draw mje na panga pale nimekaa
HeheheVijana wa Leeds United muda huu wanakula karanga wabichi, mihogo wabichi na nazi wabichi wakishushia na supu ya pweza, ikifika saa kumi kamili wanapaka kabisa vumbi la Congo wakisubiria muda ufike.
Kaswende Fc kazi wanayo, leo lazima watolewe kizazi.
Mnagongwa leo kenge nyieNyie wafuga kaswende njooni mcheki mpira unavyochezwa huku na timu bora ya mwaka. Pale king powerHehehehe
Vp hali ya chelsea yako huko uwanjani?Huku hamufiki popote nyie kuku. Bora mungeenda tu uko europa.
Duh leo sijui wachezaji walishiba maharage.
Ndugu yangu hii EPL hua haina matokeo ya mfukoni, kamuulize Klopp yaliyomkuta pale Nottingham yaaani unavyoona pointi hizi hapa unashangaa kipigo hiki.Duh leo sijui wachezaji walishiba maharage.
Sema nini sisi tunataka uefa tu huu msimu ni we tu.
#CFCπππ