Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Keita majeruhi anapata wapi ujasiri wa kufanya ngono zembe🤣🤣🤣🤣
 
Na bado Salah keshakuwa butu🤣🤣🤣 firmino ndio amna kabisa kapigeni goti kwa Mane na Origi mumewa dump sasa ni mwendo wa kukung’utwa tu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna nini kwenye fitness magement ya timu, injury after injury.

Kuna muda mechi ya nott ikiendelea Salah alizungukwa na wachezaji wanne hahah nikajisemea hii imeisha. Nikategemea atatoka Jones aingie Le capitano maweeee akatolewa bobby. Kosa kubwa ilikuwa kumuacha Jones ndani.

Ndio tumeipenda wenyewe ituning’inize tu
 
Na bado Salah keshakuwa butu🤣🤣🤣 firmino ndio amna kabisa kapigeni goti kwa Mane na Origi mumewa dump sasa ni mwendo wa kukung’utwa tu🤣🤣🤣🤣🤣
Yaaani tuna hali isiyoelezeka aisee mara unaona uhai huu hapa mara kipigo mara ushindi mara sare yaaani tupo tupo....

Tuna subira hakuna namna

YNWA
 
Katika pitapita zangu za kufanya analysis kwa ajili ya jamvi langu, si nikaangukia kwenye pre match press conference ya JK.
Am not a Liverpool fan ila mpaka nimemuonea huruma Klopp kama mwanaume mwenzangu. Kikosi kipo very depleted, out of form but yet anatakiwa ku deliver🙌
 
Haya ya Keita ndio yale ya Essien sishangai kwa wachezaji wa Kiafrika.....
 
Kulopu analialia nini acha abondwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…