Herzog
JF-Expert Member
- Jul 26, 2022
- 4,129
- 4,859
Tayari Nottingham washatulipia kisasiTimu lako tumelitandika mateke wiki iliyopita na hakuna kitu mmetufanya
Tayari Nottingham washatulipia kisasiTimu lako tumelitandika mateke wiki iliyopita na hakuna kitu mmetufanya
Eti leo arse8 anatuvimbia
Sisi tunawapa point ili angalau mrudi top 4.....ila Jana mmekutana na vitoto havina huruma ....na kideri Chenu mkapewa za usoTimu lako tumelitandika mateke wiki iliyopita na hakuna kitu mmetufanya
Kabisa!Hahaha maisha kweli hayana definition. Anyway tukubaliane kwa sasa kwa upuuzi wa Klopp na FSG.
FSG Kumfukuza Klopp ni kumuonea tu a they are not backing him alot as the currently football business needing.
Kabisa!
Kiburi chao ndio kimetufikisha hapa.
Hawa jamaa lao moja .
Mmetupa wapi!Sisi tunawapa point ili angalau mrudi top 4.....ila Jana mmekutana na vitoto havina huruma ....na kideri Chenu mkapewa za uso
Hana ustaarabu wowote..Ni vile klopp mstaarabu mno pamoja na kiburi chake.
Ingekuwa Mourinho tusingekuwa naye already
Mimi kama shabiki wake sijapenda kabisa yeye kuondolewa.Saint Anne
Wakati Gerrard anafungashiwa virago, mashabiki wa villa hawakupendezwa na hilo.
Hahah huu mpira kuna wakati unaweza usijue unahitaji nini wewe kama mshabiki.
Sasa hivi siye lawama kwa kila mchezaji klopp na fsg
Shoka LA plastikiMmetupa wapi!
Si mlishindwa kutamba kwetu wanaume wa shoka
Jana MosDef kasema walibana matumizi kwenye madakari.Klopp abadili mazoezi injury crisis kwetu too much.
Jana nilipoona vvd amekaa chini nikasema ohooo Henderson/Fabinho mmoja CB ndio tutadundwa vizuri sasa.
Imagine currently Liverpool without Beckor
Likawanyuka tekeShoka LA plastiki
Na wanakuja kuwatandika.Tayari Nottingham washatulipia kisasi
Hana ustaarabu wowote..
Ameamua kuungana na hao jamaa kutunza ugali wake.
Kenge hasikii hadi damu imemwagikaKlopp has too much arrogance.
Muda mwingine unaweza yanayomtokea unaona yes yamkute tu, hauhitaji microscope kuona ubovu wa timu. Fans wamemsaidia media zimemsaidia jamaa kakaza kichwa as usual akitaka ku prove majority wrong.
He should face reality and not escaped it.
We have quantity in our team over quality, and good thing he always swallow his words at the end.
MosDef can you help us to tell us what is going wrong with our FITNESS MAGEMENT?
Si ameamua akubaliane na mwendo wa boss zake.Jamaa ni huruma zinamuangusha
Milner
Henderson
Jones
Keita
Ox
Elliot
Gomez
Hawa sio cream player wakukupa mataji,.. they were not supposed to be in our team untill now.
Binafsi nina imani not utafiti ukiwa na alot of english players in your regular playing team hufanikiwi. Especially kwenye MF