Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi kama videri fc kampeni yetu ya msimu huu tushaimaliza na ubingwa tushatangaza ambao ni kumfunga city......nyie wengine endeleeni kugombania topu fo
 
yaah mkuu na leo haachi point... sasa liver anatafuta point kwa city anakuja kugawa kwa notgharm fwakenii kabisaa
Ndio maana zama za Liver zimeisha huku liver akiwa ameshinda mataji machache.
Waandae kikosi kipya labda baada ya misimu mitatu watarudi kuwa washindani wa vikombe tena
 
Sasa hivi hilo Kopo (Klopp) halina tofauti yoyote na Jamhuri Kiwelu.
 
Magwaya alikua anafanya mashambulizi hadi kwenye boksi lake mwenyewe

Van dayiki yeye anafanya clearance mpaka kwenye boksi LA wapinzani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…