Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ila jana katenda dhambi isiyosameheka
 
Trust me Nunez sio mbovu kiasi hicho, he is quick na ana nafasi ya kufanya vizuri, msimu huu 15+ goals atafunga...

NB: Arsenal fan kindakindaki
Ukiondoa urefu wake,labda na jinsi anavyofunga nywele zake,Nunez ni famba mkuu.Completely not a typical Liverpool striker in Klopp era....Trust me
 
Nyota namba 4 na 6 naona kwangu ni sahihi ndio maana mi naamini rotation itafanya wengine wapumzike wapya wapate nafasi ..

Suala la usajili pia nadhan kuangalia ukota na Mfs mmoja au wawili wa maana ..
Hata tukipata Kama wakina Coutinho vile fresh ..
 
Sina shaka na Nunez. Kwa umri wake na chini ya Klopp atakaa sawa tu.

Klopp amwamini na language barrier kadri anavyozidi kujua kingereza atazidi elewa ni muda tu huyu dogo ana goli 15+ msimu huu.

YNWA
Klop alihojiwa siku moja akasema yule dogo bado Kama anajistukia tu labda presha kubwa ya kufanya vizuri ndo inamzonga Ila mazoezini anapiga magoli mpaka ye mwenyewe anashangaa inakuaje kuaje ..
Pamoja na hivyo lakini anafunga japo nafasi zengine anakosa Ila movement zake dogo hata magoli aliyofunga unaweza ona Ni mtu hatari..
Magoli Kama ya F.Torres vile yule ya Liver. [emoji1]
 
El Nino alikua mtu na nusu hatari sana.. Liverpool has been blessed kua na ma strika hatari balaa tazama Torres El Nino, Surez, Salah na sasa Nunez...

Kwa umri wake na ile price tag sijashangaa sana alipo sasa na ile kadi yake vs Crystal Palace ilimchanganya sana kiasi fulani...

Atakaa sawa na pia kingine wakati yeye hapati dakika mwenzie anaefananishwa nae anapewa dakika za kutosha lakini Nunez dakika kwake ni adimu sana na lazima tukumbali game time itampa zaidi kujiamini case study alivyo hit ground Fabinho alivyotua Liverpool baada nae kusugua bechi mwishowe akapewa namba ilikua one way ticket hakarudi nyuma tena.

YNWA
 
Daah kweli umenikumbusha Fabinho Game ya mbili za mwanzo Arsenal na Napoli mpaka wengine tulimkataa mazima yani[emoji38]
 
Daah kweli umenikumbusha Fabinho Game ya mbili za mwanzo Arsenal na Napoli mpaka wengine tulimkataa mazima yani[emoji38]
Fabinho kama sijasahau zile gemu za Bayern Munich alicheza one of the bsst of his Liverpool story tena ni kama alicheza markshift CB kwa sababu VVD alikua na kadi so dogo alivyopewa nafasi hajawai kurudi nyuma tena na gemu nyingine akicheza pale kati alipamiliki balaaa. Players improve kwa filed sio kusugua benchi ndugu yangu. Give the boy real test kwenye real games na hatatuangusha.

YNWA
 
Liverpool mshusheni Nyumbu hapo namba tano, afu Kumbe Bournemouth mliyempiga tisa leo mpo sawa point[emoji1787]
 
Ila jana katenda dhambi isiyosameheka
Tutamsamehe tu kafanya kweli makosa lakini mpira huwa hatuangalii mechi iliyopita ni mechi ijayo kumbuka Gomez alichofanya mechi ya Napoli leo wanasema kwa mpira huu aende Qatar. Mpira ni kujifunza makosa ndio maana kila siku wako training na ni kazi ya walimu kurekebisha haya bahati nzuri tulishinda goal moja lakini ingekuwa wamerudisha wale leo angekuwa hana amani lakini kwa kuwa 3 point tulichukuwa makosa atajirekebisha tu.
 
Haya mkuu umeshinda, hata hivyo umri wake unamlinda, anao muda mwingi wa kumiprove
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…