Waelewe vipi bila kueleweshwa hili ni la kocha angalia upande wa kushoto sasa hivi unapwaya sababu diazi anacheza kama free player goli la jana kalitengeneza akiwa kulia kwenye matukio haikatazwi mchezaji kuhama ila huyu anafata mpira ulipo.Case study ni KDB kutoka kua mfungaji tegemezi na kua feeder mkuu wa Halaand hakika kwa haya mabadiliko yamesaidia kuwapaisha Manchester City parefu sana maama wengi focal points ni Halaand...
Hapa kwetu wala Klopp hana huo ubavu wa kukomalia Salah au Diaz kum feed Nunez kama main threat wetu.... Nunez akomae mwenyewe kusaka magoli kivyake akisubiri aletewe na Salah hakika atasubiri sana kwanza Salah mwenyewe anakitaka kitu cha ufungaji bora hivyo mwenyewe anataka magoli.... Mind set ya wachezaji wetu pale mbele inabidi waelewe mfungaji ni Nunez wampe sapoti kadri wawezavyo...
YNWA
Ukiona hivyo pengine Diaz ni wild card ya Klopp ana free pass timu ikiwa kwenye transition afuate mpira ulipo.Waelewe vipi bila kueleweshwa hili ni la kocha angalia upande wa kushoto sasa hivi unapwaya sababu diazi anacheza kama free player goli la jana kalitengeneza akiwa kulia kwenye matukio haikatazwi mchezaji kuhama ila huyu anafata mpira ulipo.
tue tuna angalia na majukum ya wacheza tusishangilie 1 ikatukosti 3 nakumbuka pia waligombania mpira na Nunezi na ni eneo la straika sasa hii ni sawa?
Mechi iliopita kipindi cha kwanza niliuliza hivi Diazi anacheza nafasi gani hamna alie jali bila shaka mna furahia anavyo chachafya mabeki bila utaratibu achoka haraka kwa kukimbia hovyo.
Mwalim anagawa majukum kwa wachezaji na wasimamizi wao wanaangalia anae toka jasho mpira hata ukiwa na kipaji lazima muwe na mbinu za pamoja mpate matokeo
Good story to read.Pain is beautiful thing!!I was against usajili wa Thiago sababu ya injury zake na mpaka sasa namkubali sababu hakuna plan B yake but huu usajili ulikua bonge la mistake maana boy earns 200k kwa wiki lakini rarely tunavyomhitaji utamuona... Thiago ni kama BMW kwa mswahili its that car you have ila sio kazi kazi all season kama magari ya Kijapan yenye maintenance cost ya chini popote... Ni kweli Thiago is class act lakini kwa Liverpool he is a luxury... Naamini kwa huo mshahara unapata 2 workaholics MFs young, stable, solid. Nwa haya Thiago tuyaache.
Mkuu jiulize tulisubiri miaka mingapi kupata kombe la EPL ndio utaelewa tuna hali mbaya maana wakati unawaza kujiimalisha sio kwamba wengine wamelala fofo.. Kumbuka Arsenal invincibles walivyokiwasha na baada ya pale kwao ubingwa ni ndoto hivyo tuelewane winning is addictive so doea losing... Hatuna plan B zaidi kukumbali are in deep shit kwa sasa sababu ya kukosa proper June incomings maeneo muhimu.
Kwa mpira wa sasa kasi ya EPL kikosi sasa ni wazi wazi ni dhaifu. Kama ulicheki gemu za hivi karibuni we are breaking under pressure yaaani hawajiamini wachezaji wetu its like tukishambuliwa wanasema here again comes kipigo sio TAA wala VVD nk mchezaji pekee anajua anachofanya ni sweeper keeper Allison hawa wengine ni janga kabisa na kwa mbali Nunez, Firmino na Diaz... Hatuna DM maana Fabinho yupo likizo sijui nini kimemkuta kama anakua over whelmed by the flow ya matukio uwanjani...
Lini ni wapi we will find our mojo back is still a mystery.
YNWA
Sema linapokuja suala la champions league liverpool wanajua namna ya kucheza michuano ileHongereni sana kwa kumtandika mtu magoli saba.
Naamini mnaenda kumnyuka man situ jumapili mpaka achakae
Hawana lolote hawa Broiler, wakikutana na marehemu hua wanajitutumua kwelikweli.Sema linapokuja suala la champions league liverpool wanajua namna ya kucheza michuano ile
Kutesa kwa zamu.Good story to read.Pain is beautiful thing!!
TbtTunamhitaji van dirjk for £50+naby keita for £20+tomi Werner for £30 +Benjamin Mendy for £20+moura /salah /Costa for 35 +leandro parades for £20 we need all most £ 180 naamini zitapatikana hata sturidge asipouzwa