Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tumia akili, Arsenal ya sasa sio ya msimu uliyopita, Arsenal tunaevolve, kocha na wachezaji wanakua kila leo, Pep & Klopp wanajua wazi kati ya mechi Man city & Liverpool walitengeneza nafasi chache ni dhidi ya Arsenal at the Emirates second half of last season. So we are coming for you now.[emoji1787]
 
Msianze kumlaum Nunez aisee, Nunez angeenda man city saiv nako angufunga tu ni kulingana na nafasi anazo tengenezewa, Haaland anatengenezewa nafasi nyingi tofauti na Nunez mkuu.
 
Anajitoa ufahamu, hajui Arsenal imekuwa ikipitia phase tofauti kuanzia aje Arteta katika kutengeneza timu, katika kuweka style of play, had ku recruit wachezaji wanaoingia kwenye huo mfumo.

Ni kweli Liverpool na city walitufunga mech zote msimu uliopita ,ila Kama aliangalia hizo game hasa za round ya 2 angeelewa Arsenal inaelekea wapi , Mancity pale Emirates alikutana na arsenal tofaut kabisa na ya round ya 1, bila red card, arsenal kunyimwa penalty ,had 2nd half mancity muda mwingi alikuwa forced kukaa nyuma

Mech ya Liverpool pia asilimia 90 ilikuwa balance kabla 2nd half magoli ya fitminho na jota ,but performance ilikuwa tofaut na Liverpool aliyoizoea akikutana na Arsenal , na Baada ya mech ikafichuka GK aliumia akaendelea kudaka rejea goli la jota,

Na hiyo mech ndio Arnod Trent alisumbuliwa Sana na Gab Martinell

But for me Zile performance mbili dhidi ya city na Liverpool zilinipa mwanga ,Arteta anaipeleka hii timu wapi .Hata performance ya msimu huu sijawa surprised ,niliiona zaman .

Kwahiyo hata mechi ya jumapili ,Ni mech ambayo Liverpool ajiandae kukutana na Arsenal ambayo sio ile aliyoizoea ya kucheza kaunta au kuogopa ,itakuwa mech ya kupishana

For me Tukipata matokeo hi mechi nitatangaza Rasmi Sasa tunaenda kubattle epl na Huyo city , maana Hizi middle teams hazitusumbui Tena .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…