Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pep: Dias is not performing well let me try akanji
Klop: van dijk is not performing well let me neglect the issue
Pep at the start of season : Bernardo is not yet there to the required level let me try alternative
Klopp : Henderson will make it , we need leadership and power
 
Klopp reminds me so much of Wenger. Hanging onto the old guard for dear life instead of refreshing the squad
 
Msimu wa 2022/2023

• MAN CITY NI BINGWA WA LIGI
• HAALAND NI MFUNGAJI BORA WA LIGI

We endelea kubisha

Mkuu kabla ligi haijaanza kombe tayari analo man city wengine ndio mnagombania.

Hilo liko wazi ,hapo mpaka msimu ujao ndio tutaanza kuonesha ushindani baada ya kupata funzo msimu huu maana tunaweza kuweka record ya timu kupata sare nyinyi kwenye epl na timu inayoanzwa kufungwa epl hapo.
 

Hapo mpaka msimu uishe aisee hakuna cha maana tena.

Hata akija kocha gani haitasaidia kila mechi lazima tuanzwe kufungwa sare kibao tutaona huu mwezi wa 10 ukiisha tutakuwa nafasi ya ngapi tayari points 2 tumepoteza.
 
Tukiacha yote mimi kuna mambo bado yananishangaza
1. January 2020, klop alipoona Minamino ni zaidi ya halaand ( wakati huo bei ya halaand ni chee kabisa

2. Usajili wa Keita tena hadi kusubiriwa msimu mmoja( utadhani alikua na kiwango cha iniesta au KDB)

3. Nunez

4. Nunez

5. Nunez

6. Nunez

7. Nunez

8. Nunez

9. Nunez

Ni usajili wa hovyo wa bei kubwa kuwahi kufanywa na klopp, ni heri angemsajili lewandowsk mzee kuziba viraka huku akifanya scouting ya maana.


Huyu Nunez ana first touch mbovu Lukaku ana nafuu

Sio mnyumbulifu kabisa, magoli ni ya touch moja ama vichwa kama Carrol

Ndio maana mpaka sasa hawezi hata kumnyima namba Firmino aliyejichokea


10. kuuzwa kwa Mane na Gini sina lawama nae sana maana ili urefresh kikosi lazima watu baadhi watoke ila wakutoka ilitakiwa aanze na Milner, hendeson, Ox, Keita, ndio wengine wafuate
 
Kuandika maneno kama haya "Overrated" ni kumshushia heshima Jurgen klopp, msijifanye hamjui kuwa kakosa EPL mara mbili kwa gap la point 1, msijifanye hamjui kama kacheza fainali 3 za UEFA.
 
Klopp nadhan uwezo wake wa kufikiri umefika mwisho

Kama alitaka kurefresh kikosi angeanza kuwatoa wazee kwanza Kama

Milner

Hernderson

Ox

Halafu baadae wangefuata akina mane firmino


Hili jambo ndilo lillomfelisha bwana norbet

Usajir wa DARWIN ndio tupo dilema mwenzie haaland gar imewaka vibaya Sana yeye imebaki swal tu kwa mashabiki LINI ATAIBEBA TIMU MABEGANI ?

SALAH ataweza kufikisha goli 13 kwenye ligi? Nao n mtihan mzito.sana

Ngoma ikivuma Sana mwishowe hupasuka nauona mwisho wa klop pale anfield

Klop n master wa kusuka kikosi lakn n TUTUSA wa kuendeleza kikosi



Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kuandika maneno kama haya "Overrated" ni kumshushia heshima Jurgen klopp, msijifanye hamjui kuwa kakosa EPL mara mbili kwa gap la point 1, msijifanye hamjui kama kacheza fainali 3 za UEFA.
Tunajua yote lakini sisi Liverpool tuna msemo wetu kutoka kwa Legendary Bill Shankly "first is first second is nothing" ukielewa hilo utajua kumaliza popote wa pili hakuna dili ki vileeeee....

Kwa mara ya kwanza Klopp amekutana na hiu mitihani ambao amepagawa mno,.. Kazi kwake sasa kuonyesha upande wa pili wa shilling kwamba ni mwalimu wa all seasons iwe jua iwe mvua aturejeshe kwenye good times..

YNWA
 
Lkn pia mkuu Pa1 na ujinga wote wa Klopp na kila ki2 kuna synonmy inasema "Don't get ahead of yourself", ndo Klopp huyu huyu aliwapa Ligi ambayo kila kocha alishindwa ndan ya 30 yrs nafikir ndo maana nimeanza kusikia Tetes kua hawez kufukuzwa anytime soon na naelewa kwa sbb kbs ni kua amewatoa Liver sehem hata nyie mashabik mlikata tamaa na weng walikimbia team.

Ni kweli Klopp ana kiburi na everything lkn pia msijifanye kwamba mmesahau leo mlipotoka ni pagum zaid .. Na ndo maana FSG lbd wanakua patient ili watafute m2 sahihi wasije mpa mtu team ikajifia kbs jumla jumla tena kwa miaka ming kwa sbb any project inahitaj m2 sahihi wa kutake over ndo maana unaona had Sasa team kama Man U nayo ili struggle sana tang Feggie atoke kwa sbb alikosekana m2 sahihi wa kutake over ile project kuanza nayo upya.
 
I hate to say this but Liverpool j'pili tunawafunga, ni lazima tuwafunge ili tuendelee kuongeza ligi #coyg.

Hata msimu uliopita mlisema hivyo hivyo,tukawafunga mechi zote nne na hamkutufunga hata goli moja kwenye mechi tulizokutana narudia tena hata goli moja hamkutufunga na wakati mlikuwa kwenye form.

Hamjawahi kusema tunawafunga.hata kwa Man U mlisema hivyo hivyo na mkafungwa tena kwa aibu goli 3.
 
Base on current performance msimamo wa msimu huu:-
1) Man City
2) Arsenal
3) Chelsea
4) Spurs
5) Man United

Ndiyo nimeona hivyo

Mkuu tusubirie mpaka mechi 19 mkuu,pale ndio itakuwa sahihi sana,

Namaanisha baada ya round ya kwanza kuisha hiyo haidanganyi mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…