Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kaka mkubwa hapa shida ni nani?
A. Klopp
B. FSG
C. Wote wawili
Umekiri kuwa alimtaka Tchu kabla hajatimkia Madrid. Kwamba alitambua shida MF ya timu. Hata akina Jammie walipiga kelele bila mafanikio.
Sasa kama kote (ulikokutaja) alienda bila mafanikio na akaangukia Arthur huku akizidi kuongeza idadi ya vitanda. Sidhani kama shida ni yeye. Hao wagonjwa hawauziki naye hawezi kununua kwa vile policy ya timu inambana.
Dawa ni kuwatimua hawa Wamarekani basi.
 
What if klopp is trying to sabotage us on purpose? What if he's trying to send a clear message to FSG without opening his mouth? Kwa maana haingii akilini umtoe a full fit Tsimikas umuinguze babu Milner, goal zote zimeingia kupitia upande wa TAA lakini hakumtoa, Klopp is a top notch manager, there is something, mi siamini eti ameshindwa ku rectify hii issue hao wachezaji wamepumzika week 3 wengi wao hawajacheza international games, game ya jana no tactics kabisa, no football identity, hakuna attitude wala rhythm yoyote.
 
Hviii ndugu zangu nyie nd mlikua faras wa pili ukiachana na ss man city imekiwaje timu iLokua tishio imekua hv
 
Umesema vyema mkuu kwangu naona tatizo ni wote kwa mfano Henderson alikua atemwe na FSG lakini Klopp akasema anamhitaji abakie na same ishu na Milner akasema nae apewe mkataba mpya na FSG obliged, lakini Klopp huyu huyu aliingia mitini kukomaa kwa wanyamwezi wetu vijana wa Gini na Mane yaaani hata hakuonekana kusema angalau mmoja wao abakie Liverpool sasa kama Klopp alitegemea Henderson akizeeka atakua Pirlo atajijua mwenyewe haya ya sasa anayataka mwenyewe hana wa kumlaumu kabisa....
Kwa sasa hata watetezi wake akina Pearce wanampa makavu...
Gini na Mane ni workhorse hivyo impact yao kwa kutosajili like for like ndio inaonekana sasa.. Wakati mwingine ni ngumu kuelewa pengo la mchezaji fulani mpaka mambo yawe kama yalivyo sasa...
Kumbuka Real Madrid walivyomtoa dukia Makelele ni pale pale wakaanza kupigika, kumbuka Arsenal baada ya Viera kusepa zake nk ama kumbuka vyema alivyoodoka Alonso Liverpool tulivyohangaika mpaka akaja Fabinho ndio angalau tukasema tuna World class HM kikosini...

Soon FSG out na Klopp out haha maisha yanakwenda kasi sana.

YNWA
 
Yaaani era is ending us winning just a single EPL Trophy duuh ngumu kumeza lakini ndio ukweli...
We are just fantastic losers, overrated 😊😊😊😊😊😊😊😊😊6 years 1 EPL ni ajabu mpaka sasa Klopp yupo kazini.

Kama Klopp anaona FSG ni super glue alitakiwa asepe zake Bayern Munich awaachia wengine kazi ambao watasema hiki kikosi kimechoka lakini kuedelea kujificha kivuli cha majeruhi wala hakumsaidia Klopp wala Liverpool.

YNWA
 
Siamini kisingizio chochote zaidi ya kusema hii Timu msimu huu ni Mbovu.

Kuna anguko kubwa la Wachezaji 3
1) Salah
2) VVD
3) Trent

Hawa Wachezaji Msimu huu mpaka kufikia muda huu wa game ya jana tarehe 01/10/2022 wamepoteza uwezo kabisa tutafungwa magoli mpaka tujute.

#TIMUMBOVU
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…